mgt software JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 13,778 Reaction score 7,145 Jul 7, 2017 #41 saida Karoloi ni bora mno, ana nyingo kama mia 1 wakati wengine wana 25 tu, na zote zina maana kutegemea na wakati, Jide hutunga nyimbo kufuatana na migogoro yake na wapenzi.
saida Karoloi ni bora mno, ana nyingo kama mia 1 wakati wengine wana 25 tu, na zote zina maana kutegemea na wakati, Jide hutunga nyimbo kufuatana na migogoro yake na wapenzi.