MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Leo sitaandika sana. Soma huo uzi niliowahi kuandika humu kisha soma alichosema Mama leo. Nimeamini mama yumo humu na anatusoma. Mimi kama mtanzania mzalendo nitaendelea kutoa mawazo ya kujenga nchi hadi pale nitakapotwaliwa na muumba.
www.jamiiforums.com
Kulazimisha vijana wawe wajasiriamali/ wajiajiri ni kuzidi kuwapoteza zaidi. Sio wote wanaweza
Naandika kwa masikitiko makubwa sana ikiambatana na huzuni. Hili tatizo la ajira ni karibu dunia nzima kwa sasa hasa Afrika. Ila tunachotofautiana ni namna ya kukabiliana na tatizo. Nchi nyingi za Afrika tunatumia mbinu za hovyo kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana. Wanasiasa, viongozi wa...