Mwanongwa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2023
- 611
- 567
Ahsanteni sana TARURA Mkoa wa Mbeya kwa kusikia kilio chetu Wananchi wa Kata ya Forest.
Hatimaye vile vifusi vilivyokuwa vimemwagwa katika Barabara ya Sangu kuelekea Benki Kuu vimeanza kusambazwa.
Ila ndugu zangu wa TARURA yaani mpaka tulalamike ndiyo mfanye, siyo sawa bhana.
Ila pongezi kwenu Kwa kuwa watiifu.
Ilivyokuwa awali ~ Mbeya: TARURA sambazeni vifusi mlivyomwaga tangu Mwaka 2024 katika Barabara ya Sangu kwenda Benki Kuu