Hatimaye viwanda vyaanza uzalishaji. Kiwanda cha Urafiki kimekuwa mfano

Dah! Ama kweli, naona huyu ni meneja mauzo pale Urafiki, ntapeleka order yangu fasta
 
Ama kweli tumeanza vizuri. Hongera sana wazalishaji kwa kutuzalishia bidhaa bora na zenye kuleta ushindani mzuri katika masoko makubwa duniani. Tukiendelea na uzalishaji kama huu nina hakika tutaliteka soko na tutafyatua sana!
 
Yadunia tabu tu!
hebu weka na picha ya kiwanda
 
Ama kweli tumeanza vizuri. Hongera sana wazalishaji kwa kutuzalishia bidhaa bora na zenye kuleta ushindani mzuri katika masoko makubwa duniani. Tukiendelea na uzalishaji kama huu nina hakika tutaliteka soko na tutafyatua sana!
Tutakuwa kama China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…