Cyclopedia Member Joined Nov 11, 2015 Posts 25 Reaction score 41 Dec 9, 2025 #1 Baada ya kuona hakuna njia za kujipenyeza ili mkafanye uhalifu kwa kisingizio cha maandamano waandamanaji na wao wamekubali kutii mamlaka kwa kukaa majumbani.
Baada ya kuona hakuna njia za kujipenyeza ili mkafanye uhalifu kwa kisingizio cha maandamano waandamanaji na wao wamekubali kutii mamlaka kwa kukaa majumbani.
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 2,188 Reaction score 4,116 Dec 9, 2025 #2 Sauti ya ukimya inatisha sana.
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,984 Reaction score 51,055 Dec 9, 2025 #3 Maandamano hayana siku maalum wala saa.