Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Haya mambo bhana..

Kunyweni beer mtulie..wala msiwe na hasira.
 
Yaani Hawa Vijana hawakuwa na mchango chanya hata siku moja kwa chama chao. Wanafikiki unafuatilia chama kama isidingo hahaha
Mchango chanya ni kupinga ujinga kama sasa tunapinga Rushwa ya CCM kwa Mbowe siyo kama nyinyi CCM eti michango chanya ni kuunga mkono udikiteta wote na ujinga wote wa CCM pasipo kukataa unafiki
 
Pesa iliyotumika kuwanunua ingetosha kujenga viwanda 100 na Hosptal kubwa ya rufaa Morogoro na kwingineko Nchini lakini ccm wameona wawanunue wabunge wa chadema wakwepe vikwazo vya kimataifa
Hamna lolote nyinyi. Ohhh tunaonewa!!
 
Dah sijui Lissu atawaambia nini Amsterdam na mabeberu wake.

Kitendo cha CDM kuteua wabunge ina maana uongozi aina communication na Lissu ambaye jana tu kadai wao wamesusia bunge na hawatambui matokeo ya uraisi.

In other words CDM wanatuambia tuache kumsikiliza anayoongea ni yake sio ya chama wala sio mtu anaeshirikishwa katika maamuzi
 
Mchango chanya ni kupinga ujinga kama sasa tunapinga Rushwa ya ccm kwa mbowe siyo kama nyinyi ccm eti michango chanya ni kuunga mkono udikiteta wote na ujinga wote wa ccm pasipo kukataa unafiki
Shame on unapinga kwa kupitia nini
 
Uzi umetupwa SAA moja tu imepita, lakini pg 15! Ufipa wamechanganyikiwa kabisa, hahahahaha.... Lisu kakimbilia Belgium kula bata, huku anawapangia CHADEMA kugoma. Yaani yeye ale bata wenzake miayo tu, hata kama ni mtoto mdg atashituka tu!!! To hell!! Kwanza Lisu ni msaliti, hongera CHADEMA kwa kugundua hilo, mngemsikiliza mngejimaliza kabisa ktk historia. Hongereni wabunge wa vitu maalum, iungeni mkono serikali yenu ya kizalendo, lengo ni kumhudumia mwanchi. Lakini pia kosoeni serikali pale inapolegalega ili ijirekebishe na mwananchi apate huduma bora.

FUNZO: KEYBOARD WORRIERS MUWE NA AKIBA YA MANENO, ACHENI UMAMALUKI BILA SABABU.
 
Ungeandamana ungetwangwa virungu halafu ukiwa ICU unaona hao wanaapa na kusaini kuchukua posho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…