Mkuu hujanielewa CHADEMA jinga laoo mkuunendeni mkareport popote
Katibu mkuu wa CHADEMA ndiye amepeleka majina kama sheria inavyoelekeza?Wewe pita kushoto[emoji23]
tuwache na BAWACHA wetu.
tunaimani na BAWACHA viti maalum na wizara itawahusu[emoji23]
Hahahaha wakujeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kigogo alisema wanafanya kwa siri bila ridhaa ya chama?
Haya kina tindo mko wapi sasa?
Lissu kakimbia asiuawe lakini huko kaenda na msimamo wake binafsi huku nyuma Mbowe kala Rushwa peke yake na pengine kampa kipande mnyika huu mchongo Lissu hayupo umepigwa na wachaga watupu wapenda pesa kuliko UtuUsiombe iingie kwenye mji wako. TL yeye kaenda kula Belgium. Wengine kawaacha bila kujua chakula kitatoka wapi
Ulikuwa bado hujajiungaKama ni kweli mimi nitajiunga ccm kabisa!
Kina jingalao johnthebaptist Jane Lowassa Bia yetu mama D na wengineo naombeni mnipokee
Hapo chacha, kuna watu kama Charles Kimei, hata Mo naye alishakuwa mbunge..Kuna mtu hana njaa?
Kama shabiby na abood wana njaa wewe nani usiwe na njaa?
Mkuu,Toa ufafanuzi mkuu, kamtiaje hasara? Chadema ni taasisi si mtu.
Utachoma hata hiyo mkuuLeo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Sure [emoji119][emoji706] wacha tubaki wapenz watazamajiIla kuna njaa ya hatari. Na kamwe usifanye deal na mwenye njaa, atakusaliti tu!!!
Wenzio wanaoa kila kukicha, we sema huwezi majukumu ya kifamiliakwa usaliti huu wa eva, delila na herodia, na bawacha bado kuna mtu anapanga kuoa!
Mwanasiasa nje ya siasa ni njaa tu. Kama Wassira alikuwa anasema hana la kufanya nje ya Ubunge, mtu kama Halima kakaa bungeni miaka 10 lakini bado ana njaa. Halafu utasikia jamani vijana mjiajiri.Kama wabunge waliowahi kuwa bungeni Wana njaa Kali mno, je Tanzania tunaupinzani wa kweli au wasakatonge,
CHADEMA hawana tofauti na CCM kwa sasa, wote wachumia tumbo tu!
Hii inaitwa both teams to scoreWazee wa kubeti hii option inaitwaje ?
Wee mungu baba angalia Leo tunavyo tukanwa namna hii[emoji3516] Lisa kuamua kuwaaamini wasaliti ulio tupatia watuongoze[emoji24][emoji24][emoji24] em tuonee huruma basi[emoji119]Yaani Kuishi Kwangu sijawai kuona watu wasijielewa kama Wafuasi Wa CHADEMA kama humu Jamii Forums. Hawa Jamaa
1. Ni wanafki
2.Mazumbukuku ya siasa
3.Hawajitambui
4.Hawana msimamoo
5. Hopeless human Beingi
6.Wavivu Wa kufikiri
7JITAMBUENI KWANA NDIO MUISOME SIASA HATA KWA HISTORIA
Naangalia Comment Zenuu hapa Mpka nasikia Aibu kuwa na Vijana Wa aina hii..MTAKUWA LINI MTAIELEWA SIASA LINI MTATUMIKA MPKA LINI[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] Dah
Leo Mnahitaji Serikali ya Maridhano Jana mlitaka wafadhili Wasitishe misaada na Mikopo Mtaacha lini Upumbavu nyie Wafuasi Wa CHADEMA
NAWASUBILIA KESHO MTAJIFARIJI VIP TENA NYIYI MSIJE HATA CCM NENDENI CUF HUKU NA ACT NDIO AINA YA VYAMA WA WATU WAPUUZI PUZII