Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Hasira nilizonazo hazimithiliki,

M/Mungu awape hekima Sisiemu.
-wawape ajira vijana.
-wawape mikopo wanafunzi.
Mengine ni historiA.
 
Ndiyo mjifunzage, siyo kuambiwa kojoa kwenye bakuri na inakuwa noooooo tafakari kwanza.Mzee baba aliwaambia na akarudia mara tatu kwamba UCHAGUZI UMEKWISHAAAA.HAMKUMUELEWA????
 
Kwa mwendo huu kijani itatawala sana maana wamemuweka kila mtu kwenye mfuko
 
Mkuu alishasema maendeleo hayana chama tuwaunge mkono
 

Mkuu,

Una maana tunawa appease “mabeberu”?
 
Nyumbu katika uhalisia wake😂😂😂😂na kiwango Cha juu Cha ubora😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ngoja nitafute Jana uliandika he!
 
Unaelewa kuwa mamlaka ya BAWACHA haiko juu ya maamuzi ya chama?Unaelewa kuwa kama chama kimeshaweka msimamo fulani BAWACHA au BAVICHA hawana mamlaka ya kutengua maamuzi hayo?
Unahangaika bure mkuu.
Mbowe na Mnyika wanakila aina ya uungaji mkono kwenye kilichofanywa leo na wakina Mdee.
Tatizo mnakalia mitandaoni wakati viongozi wenu wakuu wa chama wanafanya vikao usiku na mchana na viongozi wa CCM.

Amini nakwambia,Mnyika ni kijana wa CCM na ataunga mkono juhudi muda simrefu.
Bisha kwasababu ni kawaida yenu kubisha,kama mlivyobisha kabla ya uchaguzi kuwa CDM aitopata wabunge kuzidi watano.
Stay tuned.
 
Tutulie kidogo,nahisi kuna busara imeingia mahali hasa upande wa CCM.Tunaomjua Ndugai na mtiti wake na Halima ingekuwa ni siku ya vijembe visivyo vya kawaida.Kuna pressure I am sure kutoka nchi za nje.
 
Dah! Kuna utofauti mkubwa kati ya njaa na hekima
Mtu mwenye hekima hugeuka kua kima aonapo njaa,kila jambo kwake YES BOSS😂😂
 
Ilikuwa ni saula la muda tu kuthibitisha uhuni wa chadema.

Kila la kheri kina mama katika kuwawakilisha wanawake wenzenu na kupigania maendeleo ya Wananchi.

Maendeleo hayana chama.
 
Kwa sasa anayemtii Lisu itakuwa mkewe tu.

Kama mpaka "wafuata upepo" kama Mdee wamempuuza huku press yake haijamaliza hata saa 48,ni nani anamtilia maanani sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…