Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tume ya uchaguzi inahusika vibaya!!Tume ya uchaguzi imewapangia walimu walioomba ajira za tamisemi vituo vya usaili, kuona kama umeitwa ingia Ajira portal sehemu ya Notification.
Bila shaka unaongelea sekretarieti ya ajira (PSRS) sio tume huru ya uchaguzi mkuu. Yote kwa yote wajipange, maana wakandaji wamejipanga kuwapokea walimuTume ya uchaguzi imewapangia walimu walioomba ajira za tamisemi vituo vya usaili, kuona kama umeitwa ingia Ajira portal sehemu ya Notification.
Ingia mkuu uone mambo yapo nje nje.Acheni uongo, System iko under maintainance
bado iko under maintainanceIngia mkuu uone mambo yapo nje nje.
Vijana tunapitia mengi mkuu.Tume ya uchaguzi inahusika vibaya!!