Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wenzetu wapo angani sisi tuko busy kabandika mabango ya samia mpaka airport.Wanaanga wawili wa Shirika la Marekani la Sayansi na Teknolojia ya Angani (NASA), Butch Wilmore na Suni Williams, pamoja na Mmarekani mwenzao Nick Hague na mwanaanga wa Urusi Aleksandr Gorbunov, hatimaye wamerudi duniani usiku wa kuamkia leo baada ya kukwama angani kwa miezi tisa.
Wanaanga hao walitua salama katika Bahari ya Florida huku wakishangiliwa na umati wa watu. Safari yao ya awali ilikusudia kuchukua siku chache tu, lakini chombo kilichowabeba kilikumbwa na matatizo ya kiufundi na kutokuwa salama kwa kurejea duniani.
Hali hiyo iliwalazimu kubaki angani kwa kipindi kirefu cha miezi tisa. Safari yao, ambayo ilianza mwezi Juni mwaka jana, ilitumbukia katika matatizo makubwa baada ya chombo walichokuwa wakisafiria kushindwa kurejea salama duniani.
Hata hivyo, kwa sasa, baada ya kukamilika kwa kipindi hicho cha changamoto, wanaanga hao wamerudi salama nyumbani.
Kaka acha tu, hawa jamaa wako beyond and above. Sijui lini tutakombolekw kifikra na kuacha kuabudu viongoziWenzetu wapo angani sisi tuko busy kabandika mabango ya samia mpaka airport.
Kuna raia hawaamini hili, wanasema ni hadithi ya kutengeneza.Wanaanga wawili wa Shirika la Marekani la Sayansi na Teknolojia ya Angani (NASA), Butch Wilmore na Suni Williams, pamoja na Mmarekani mwenzao Nick Hague na mwanaanga wa Urusi Aleksandr Gorbunov, hatimaye wamerudi duniani usiku wa kuamkia leo baada ya kukwama angani kwa miezi tisa.
Wanaanga hao walitua salama katika Bahari ya Florida huku wakishangiliwa na umati wa watu. Safari yao ya awali ilikusudia kuchukua siku chache tu, lakini chombo kilichowabeba kilikumbwa na matatizo ya kiufundi na kutokuwa salama kwa kurejea duniani.
Hali hiyo iliwalazimu kubaki angani kwa kipindi kirefu cha miezi tisa. Safari yao, ambayo ilianza mwezi Juni mwaka jana, ilitumbukia katika matatizo makubwa baada ya chombo walichokuwa wakisafiria kushindwa kurejea salama duniani.
Hata hivyo, kwa sasa, baada ya kukamilika kwa kipindi hicho cha changamoto, wanaanga hao wamerudi salama nyumbani.
Hao lazima wamekulana, miezi tisa sio poa.Huyo mama tamu yake siitakuwa imeziba? Miezi tisa🤔
Walimchangia? Nilikuwa naangalia kwenye chombo chao kule nje ya dunia nadume ndio yamejazana mabinti wachache😁Hao lazima wamekulana, miezi tisa sio poa.
Hahaha 😂 🤣, oyaaa!Nasikia ukipiga miti huko angani utamu wa bao unaongezeka mara dufu
Walikuwa wawili tu ile ni rescue team iliyoenda na SpaceXWalimchangia? Nilikuwa naangalia kwenye chombo chao kule nje ya dunia nadume ndio yamejazana mabinti wachache😁
Walimchangia? Nilikuwa naangalia kwenye chombo chao kule nje ya dunia nadume ndio yamejazana mabinti wachache😁
Hahahaha we unawaza tu vikojoleoHuyo mama tamu yake siitakuwa imeziba? Miezi tisa🤔
Huyo mama tamu yake siitakuwa imeziba? Miezi tisa🤔