Hatimaye wanasayansi wagundua tena tiba/Chanjo ya UKIMWI hivyo sasa hivi ni full kujiachia

Nasikia hata virus mwenyewe hajawahi kuwa isoleted na kuoneka sijui kama ni kweli lakin, pia kama dawa imepatakana hiv kwa huo ugonjwa ulivyotesa dunia kwa muda wote nadhani vipindi vyote vingeahirishwa kwenye vyombo habari na ingebaki kuitangaza dawa tu lakin nashangaa bd nasikia tu pima uanze arv mapema uishi kwa matumain kidogo inanipa wakati mngumu kuamini hili
 
Wanajamii, Lugha hii, inafaa kwa jumuia ya 'great thinkers' inayotuelimisha ktk nyanja nyingi?
(Samahani, mimi nauliza tu, Naomba nisijibiwe kwa muundo huu).
Kwan kosa lipi hapo mkuu au kutamka kiungo hicho ni tusi
 
Kinga ya ajali hizo ni hivyo vitu kuacha kutumika mkuu turudi kama zamani kutembea kwa mguu tofauti na hapo zaidi yakuchukua tahadhari na kupunguza ajali hakuna kinga yakufanya ajali isitokee kabisa nikuacha uzembe kwa watumiaji ila za uzembe zisitokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…