Dah.. jaman kama tunavyoelewa sheria na kanuni za taratibu za elimu ya Tz.. km mtu hautakuwa na crd pass tatu o level.. hautaweza kweda kidato cha tano la sivyo labda urudie masomo. Sasa kuna wandugu waliosoma hapa tz o level na kukosa hzo crdt na kuamua kukimbilia nchi jirani kusoma kidato cha tano na sita.. kutokana na viwango vyao vya elimu.. Sasa wandugu hao wamerudi bongo na kuomba vyuo.. na kuchaguliwa kujiunga na vyuo vikuu.. Sasa je mfumo wetu wa elimu umekaaje.. hebu tulijadili hili mageat thinkers wenzangu..
Bila shaka hao watakuwa wameenda uganda,kenya,au buruni, kwa kawaida nyeti vyao hupelekwa nacte na kupangiwa grade mwisho wa siku huishia kusoma diploma au certificate