Kaka Yaoh
Senior Member
- Sep 23, 2021
- 190
- 361
Aliiongoza Coastal Union kucheza fainali ya kombe la FA. Inshaallah mwenyezi Mungu muweza wa yote akimpatia uzima na afya njema siku ya tarehe 16/10/2022 ataiongoza miamba ya soka ya Afrika Mashariki Simba Sc kutinga katika makundi ya ligi ya mabingwa Afrika.
Hakika Juma Mgunda ni dhahabu na lulu kwa hili taifa letu na afya ya soka letu kiujumla. Tunamtakia mafanikio mengi zaidi huko mbeleni. Na sisi kama Watanzania tufike mahala tusijivunie tena kuwa tuna Mlima wa Kilimanjaro pekee bali tujivunie tunae Juma Mgunda naye kama wenzetu wa kule South Africa wanavyojivunia Pitso Mosimane.