Hatimaye Wema Sepetu aamua kuingilia kati uchaguzi wa Serikali ya wanafunzi UDSM

sumbai

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
19,955
Reaction score
45,207
Katika Account yake ya Instagram, Wema amempigia kampeni mgombea wa Urais, Bwana Joseph Josephat katika Uchaguzi unaotegemewa kufanyika wiki hii.

Yani kwake kutangaza sishangai,namshangaa huyo candidate!
Like seriously???
Wasomi wa siku hiiiiiiziiii!!
Ndio hadhi ya urais wa DARUSO ilipofika?
Enzi zangu huuuuuyu....................!
 
Sasa mwalimu mambo si yanabadilika... miaka uliyosoma wewe yalikua na vitu vyake... miaka niliosoma mimi kuna vitu vyake.. na sasa kuna ashki zake..... kampeni zinahamia instagram
 
snow!
unaongea kwa ukorofi aisee!
Inaonekana wakati ulipokuwa chuo, ulikuwa moto sana eenh!:lol:
 
Sasa mwalimu mambo si yanabadilika... miaka uliyosoma wewe yalikua na vitu vyake... miaka niliosoma mimi kuna vitu vyake.. na sasa kuna ashki zake..... kampeni zinahamia instagram

Nimekumiss!
ulishawahi gombea urais na wewe?:shocked:
 
Kweli mambo siku hizi yamebadilika zamani walikua Wana bandika picha isitoshe kampeni sio wote wanakua kwenye lecture room au mikusanyiko sioni tatizo mambo nowadays yamechange Sana.
 
sikuwahi ila rafiki yangu aligombea nikawa campaign manager.. zile moments acha tu
Enzi zile tulitumia Facebook.. insta ilikua bado.
 
Kweli mambo siku hizi yamebadilika zamani walikua Wana bandika picha isitoshe kampeni sio wote wanakua kwenye lecture room au mikusanyiko sioni tatizo mambo nowadays yamechange Sana.

Umeona enhee.. wengine madarasani wanaingia kwa mbinde saaana, as long as hawavunji sheriq sijaona ubaya
 
Picha hiyo

Sasa naanza kuelewa kwa nini wanafunzi wa vyuo hawaonekani tena msitari wa mbele katika kukemea maovu yanayofanyika nchi hii. Hata mdahalo wa juzi Nkurumah mahudhulio yalikua madogo, kumbe mda mwingi wako huko aliko wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…