Hatimaye Yanga tiketi za mzunguko zimeisha

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Timu ya Yanga imefanikiwa kuuza tiketi zote za mzunguko katika kuelekea wiki ya Mwananchi. Wiki ya Mwananchi itafanyika jumapili ya agosti 4,2024 katika uwanja wa Benjamimi Mkapa.

Awali kulikuwa na utani mwingi sana kati ya watani hawa wawili Yanga na Simba juu ya ununuliwaji wa tiketi kuelekea katika matamasha yao makubwa ambayo yote yanafanyika ndani ya weeki hii.
Snapinsta.app_453938026_1890954161417711_4185397290855109629_n_1080.jpg

Hatutaki utapeli kama Simba sold out halafu ticket zimejaa mtaani hadi kwenye promotion.
Ticket zimejaa mtaani kwasababu watu wanajua kuwa katika market ticketi ya Simba ni bidhaa adimu inayouzika kwa bei yeyote yakukufanya unufaike.

Naskia huko kwenu walikuwa wanafanya barter trade unawaachia damu kisha wanakupa free ticketi.

Kuna watu afya mgogoro hela hawana ila kwasababu wameona tiketi zinagawiwa bure ukitoa damu, wamefosi kukamua hizo hizo ndogo walizonazo ili mradi wapate tiketi.
 
Kuna maswali mtu anaulizwa ukipatia unakuwa umejishindia ticket mbili za bure kwenye kilele cha Ubaya Ubwela, kuna swali nikaulizwa " Taja wachezaji wawili waliopo kwenye kikosi cha Simba msimu huu" nikataja Jobe na Skudu Nikaambiwa sio mbaya umejitahidi tunakuzawadia ticket moja.
 
Kuna uongo hata haufananii na ukweli.
 
Ticket zimejaa mtaani kwasababu watu wanajua kuwa katika market ticketi ya Simba ni bidhaa adimu inayouzika kwa bei yeyote yakukufanya unufaike.

Naskia huko kwenu walikuwa wanafanya barter trade unawaachia damu kisha wanakupa free ticketi.

Kuna watu afya mgogoro hela hawana ila kwasababu wameona tiketi zinagawiwa bure ukitoa damu, wamefosi kukamua hizo hizo ndogo walizonazo ili mradi wapate tiketi.
Huu ndio muda wenu wa kutamba utumieni vizuri , furaha zenu mwisho tarehe 8 August baada ya hapo ni maandano, vilio na mayowe l
 
Back
Top Bottom