Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hatutaki utapeli kama Simba sold out halafu ticket zimejaa mtaani hadi kwenye promotion.Timu ya Yanga imefanikiwa kuuza tiketi zote za mzungo katika kuelekea weeki ya mwananchi.
Weeki ya mwananchi itafanyika jumapili ya agosti 4,2024 katika uwanja wa Benjamimi mkapa.
Ticket zimejaa mtaani kwasababu watu wanajua kuwa katika market ticketi ya Simba ni bidhaa adimu inayouzika kwa bei yeyote yakukufanya unufaike.Hatutaki utapeli kama Simba sold out halafu ticket zimejaa mtaani hadi kwenye promotion.
Subiri tar 8 nikukande..!Baada ya kusemwa saana, baada ya masimango mengi 🤣
Kwani mie ngano?Subiri tar 8 nikukande..!
Kuna maswali mtu anaulizwa ukipatia unakuwa umejishindia ticket mbili za bure kwenye kilele cha Ubaya Ubwela, kuna swali nikaulizwa " Taja wachezaji wawili waliopo kwenye kikosi cha Simba msimu huu" nikataja Jobe na Skudu Nikaambiwa sio mbaya umejitahidi tunakuzawadia ticket moja.Ticket zimejaa mtaani kwasababu watu wanajua kuwa katika market ticketi ya Simba ni bidhaa adimu inayouzika kwa bei yeyote yakukufanya unufaike.
Naskia huko kwenu walikuwa wanafanya barter trade unawaachia damu kisha wanakupa free ticketi.
Kuna watu afya mgogoro hela hawana ila kwasababu wameona tiketi zinagawiwa bure ukitoa damu, wamefosi kukamua hizo hizo ndogo walizonazo ili mradi wapate tiketi.
Utajua hujui tukutane tar 8Kwani mie ngano?
Siku itafika, tutakutana.. Tutajua mbivu na mbichi.Utajua hujui tukutane tar 8
Kuna uongo hata haufananii na ukweli.Kuna maswali mtu anaulizwa ukipatia unakuwa umejishindia ticket mbili za bure kwenye kilele cha Ubaya Ubwela, kuna swali nikaulizwa " Taja wachezaji wawili waliopo kwenye kikosi cha Simba msimu huu" nikataja Jobe na Skudu Nikaambiwa sio mbaya umejitahidi tunakuzawadia ticket moja.
Hawajakupa na supu!Yaani nimeulizwa "mangungu ni nani?"
Nimejibu tu nikapewa ticket.
Simba acheni uhuni
Huku nilipo ukinunua tu Sanda unapewa ticket bure ya Simba day.Yaani nimeulizwa "mangungu ni nani?"
Nimejibu tu nikapewa ticket.
Simba acheni uhuni
5imba janja2 sana hiyo timu ya Glazerbhai Mwamedi kanjibai.Hatutaki utapeli kama Simba sold out halafu ticket zimejaa mtaani hadi kwenye promotion.
Huu ndio muda wenu wa kutamba utumieni vizuri , furaha zenu mwisho tarehe 8 August baada ya hapo ni maandano, vilio na mayowe lTicket zimejaa mtaani kwasababu watu wanajua kuwa katika market ticketi ya Simba ni bidhaa adimu inayouzika kwa bei yeyote yakukufanya unufaike.
Naskia huko kwenu walikuwa wanafanya barter trade unawaachia damu kisha wanakupa free ticketi.
Kuna watu afya mgogoro hela hawana ila kwasababu wameona tiketi zinagawiwa bure ukitoa damu, wamefosi kukamua hizo hizo ndogo walizonazo ili mradi wapate tiketi.
Na wewe umepata tiketi kwa ku trade na damu?Huu ndio muda wenu wa kutamba utumieni vizuri , furaha zenu mwisho tarehe 8 August baada ya hapo ni maandano, vilio na mayowe l
Una muda mfupi wa kutamba utumie effectivelyNa wewe umepata tiketi kwa ku trade na damu?
Naona unaandika kwa kujidai si una uhakika wa supu keshoUna muda mfupi wa kutamba utumie effectively
Wewe hutaki supu? Utakuwa una akili timamu kweli iwapo unachukia supu?Naona unaandika kwa kujidai si una uhakika wa supu kesho