Hatimaye yule binti bikira wa Bei ghali aolewa rasmi

Nilipo angalia picha zote za Nyalong', kwakweli hakuna picha ambayo binti alionekana hata akitabasamu.
Kwakifupi Nyalong' hana furaha.
Kazubaa sana. Kitandani atakuaje?
 
Sio machachari kivile but am sure nimemzidi[emoji23][emoji23]
Nakuja kutest mitambo kama kweli uyasemayo [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
 
Wanabahati wamemuozesha mapema miaka17,wangechelewa kidogo bikra angeitoa muhunimuhuni tu.
 
Kwa nijuavyo ndoto kubwa kwa mwanamke ni ndoa yenye heshima tu zingine ni ziada.
 
Sio machachari kivile but am sure nimemzidi[emoji23][emoji23]
Mzaramo wangu usiendelee kuwasimulia utaalamu wako wa kitandani, mwishowe wataanza kukusumbua PM bure.
 
Ng'ombe 520 + gari 3 kwaajili ya BIKRA tu.....!!!

Wakati huku kwetu uswazi bikra tuweza itoa kwa kuhonga mandazi na soda ndogo mbili
 
Nilipo angalia picha zote za Nyalong', kwakweli hakuna picha ambayo binti alionekana hata akitabasamu.
Kwakifupi Nyalong' hana furaha.

Nadhani amefurahia tu.ananikumbusha wake zetu zamani wakiwa wanaolewa walikuwa wanalia.kwa kuwa walijua kwamba ndoa ni jambo serious. siku hizi siku ya ndoa ukumbini wanawake wanacheza mpaka unaogopa.yaaani bib harusi anachangamka utadhani wamekula pilipili.hawatulii

Japo kuwa si maanishi ndoa za bila ridhaa ni kitu kizuri.Ila mabibi harusi wa sasa mapepe mengi sana siku ya sherehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…