Ally Msangi
JF-Expert Member
- Jun 29, 2010
- 608
- 120
Ule mpango wa uchakachuaji ulokuwa umekithili katika watumiaji wa moderm za zantel sasa umefikia kikomo, jamaa wamesha gundua na wame block zile prox number za bure, i mean ths proxy
user = @zantel.tz
PORT Proxy dsn
=10.1.2.5
=8.8.8.8
hazifanyi kazi tena, labda zipatikane nyingne,
quite unfair unatueleza sasa ili iweje unaonesha ubinafsi sana kaka, thats weakness!!!
mmh nah soona am gonna generate new proxy sasa ni wao 2 kukaa tayari caz DNS naweza ku2mia hata hzi hizi 2..
ubarikiwe sana kwa nia yako. Kuliko huyn jama @kitreala2m anatushisha tujadili kitu ambacho hatukijuwi yeye alifanya ni siri.Samahani kwa wale ambazo walinitumia pm na siku wajibu, kwani nilikuwa matatani kuhusiana na hii ishu, soon nitakuja na nyingine. wote mlio ni PM nitawatumia trick mpya.
Samahani kwa wale ambazo walinitumia pm na siku wajibu, kwani nilikuwa matatani kuhusiana na hii ishu, soon nitakuja na nyingine. wote mlio ni PM nitawatumia trick mpya.
Mh! hizo ni siasa tuu. siku zote ulikuwa wapi usiseme hadi leo topic hii imeanzishwa ndso unasema sorry!!
asa ameweka za nn hzo proxy number wakat teyar zmctishwa,, tulivyokua tunaomba alikua hatuoni??????
@moulaa yaan kaniboa balaa! Ngoja mi ni mmojawapo walom PM mganyiz 2subiri 2one!