Hatimaye Zelenskyy amwandikia barua Trump warudi meza ya mazungumzo

BigBro

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
3,585
Reaction score
11,601
Rais wa Marekani, Donald Trump amehutubia Congress na amesema Rais wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy amemuandikia barua na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo kuhusu kusaini mkataba wa kuuza madimu yake.

CREDIT: Aljazeera
 
Zelensky alifikiri ulaya inauwezo wakumsaidia wakati EU nayenyewe inatafuta military guarantee kutoka US, aingereza yenyewe inahitaji msaada ya US na ni nchi bahili ambao haiwezi kutoa pesa za kuendeleza vita kwa mda mrefu imagine imetoa £1.4bn kwa Ukraine wakati US peke yake katoa $350bn tangu vita ianze kwahiyo ona jinsi US inavo hitajika..........
 
umenena sawa mkuu hao ulaya hawana kitu bila marekani
 
Zelensky alifikiri ulaya inauwezo wakumsaidia wakati EU nayenyewe inatafuta military guarantee kutoka US, aingereza yenyewe inahitaji msaada ya US na ni nchi bahili ambao haiwezi kutoa pesa za kuendeleza vita kwa mda mrefu imagine imetoa £1.4bn kwa Ukraine wakati US peke yake katoa $350bn tangu vita ianze kwahiyo ona jinsi US inavo hitajika..........
Kama Crimea imeenda na kuchukuliwa kibabe bila wao kufanya kitu unategemea nini

Walimuonea Saddam alipochukuwa Q8 na kuirudisha huku wakiuwa maelfu ya wanajeshi waliokuwa wanarudi Iraq

Mbona wameshindwa kumchangia mbabe Putin?

Wazungu wanafiki sana, jinsi walivyompokea ila sasa atarudi kavaa Suti 😄 🤣
 
Rais wa Marekani, Donald Trump amehutubia Congress na amesema Rais wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy amemuandikia barua na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo kuhusu kusaini mkataba wa kuuza madimu yake.

CREDIT: Aljazeera
Kweli lugha ya kigeni ni ngumu...acha kutulisha matango pori.
 
Back
Top Bottom