Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Rafiki yangu anayefundisha idara ya muziki amependa sana mashairi ya nyimbo kadhaa zilizoimbwa na wanamuziki hao watatu niliotaja haoi juu. Nilimsaidia kuyatafsri kwa kiingereza, lakina sasa angependa kuyatumia mashairi hayo tena katika kiswahili darasini kwakwe ili watoe nyimbo zole kwa kiwango cha kisasa. Siyo niya yao kutoa nyimbo hizo kibiashara, ila vile vile hawata ku-violate someone's intellectual rights. Waliomba niwatafutie watu wenye kumiliki intellectual rights za wanamuziki hao leo ili kusudi majadiliano yafanyike ila sijaui wa kuanzia zaidi ya hapa JF. Je ni nani wanashikilia hatimiliki ya nyimbi zilizotungwa na nguli hao leo?