Hatimiliki za tungo za Marijani Rajabu, Patrick Balisidya na Mbaraka Mwinshehe

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Rafiki yangu anayefundisha idara ya muziki amependa sana mashairi ya nyimbo kadhaa zilizoimbwa na wanamuziki hao watatu niliotaja haoi juu. Nilimsaidia kuyatafsri kwa kiingereza, lakina sasa angependa kuyatumia mashairi hayo tena katika kiswahili darasini kwakwe ili watoe nyimbo zole kwa kiwango cha kisasa. Siyo niya yao kutoa nyimbo hizo kibiashara, ila vile vile hawata ku-violate someone's intellectual rights. Waliomba niwatafutie watu wenye kumiliki intellectual rights za wanamuziki hao leo ili kusudi majadiliano yafanyike ila sijaui wa kuanzia zaidi ya hapa JF. Je ni nani wanashikilia hatimiliki ya nyimbi zilizotungwa na nguli hao leo?
 
Sina uhakika lakini waweza anza na BASATA
 
Vipi mlifanikiwa?
 
Vipi mlifanikiwa?
Walifanikiwa kuzifanya darasani lakini hawakuweza kuzitoa online kwa sababu hiyo ya kutokuwa na ruhusa kutoka kwa wenye hatimiliki. Hapa pia kuna ukiritimba inapohusu kutoa vitu online vikiwa na jina na chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…