Sixv2
Senior Member
- Mar 4, 2014
- 170
- 97
Msanii mchekeshaji katarina aamua kufunguka kuhusiana na na hali ya maisha kuwa ngumu, katarina katika ukurasa wake wa instagram kaamua kufunguka kwamba, baada ya maisha kuwa magumu kaamua kumuuliza mume wake km ana mchepuko wake wamuombe awakopeshe laki?[emoji23][emoji23][emoji23]