Ww unatoaga wapi? Tuanzie hapa kwanzaSiku hizi mtu ana screen shot huko Insta kisha anakuja kufungua thd JF?! Dah! JF naihurumia!
Kwahiyo kwa uelewa wako unadhani hiyo ni kweli? Tuliza mshono.Ww unatoaga wapi? Tuanzie hapa kwanza
Ukweli wa kwamba una mshono?? Tuje hapaKwahiyo kwa uelewa wako unadhani hiyo ni kweli? Tuliza mshono.
Hivi siku hizi kuna UKIMWI?Ukute mchepuko nae kakopa kutoka kwa buzi lake jingine. Kama mchepuko una lipa na yeye si atafute au kwa sasa mabuzi yameadimika pia?
Hivi kutuliza mshono maana yake ni nini?Kwahiyo kwa uelewa wako unadhani hiyo ni kweli? Tuliza mshono.
Haya mambo wanataka wenyew uongoz wa jf siku hizi inapoteza ladha kabisa zamani ukiingia jf hukosi kitu kipya cha kujifunza lakini siku hizi mambo ndio kama hayo mkuuSiku hizi mtu ana screen shot huko Insta kisha anakuja kufungua thd JF?! Dah! JF naihurumia!
Mkuu huyo dogo ni kama kisonono cha ubongo[emoji13] [emoji13] [emoji13]Haya mambo wanataka wenyew uongoz wa jf siku hizi inapoteza ladha kabisa zamani ukiingia jf hukosi kitu kipya cha kujifunza lakini siku hizi mambo ndio kama hayo mkuu
Sent from my Phillips Savy
Halafu wanajiita waandishi mahiriSiku hizi mtu ana screen shot huko Insta kisha anakuja kufungua thd JF?! Dah! JF naihurumia!
Hivi siku hizi kuna UKIMWI?