Hatma baada ya kupona Gono

Gono inakula kizazi Cha mwanamke mpaka kinaisha, Nina shuhuda Kuna dada gono ilimla kwenda hospital wakakuta kizazi chekecheke ikabidi wakitoe

Demu mwenye gono ni kupiga chini na kufuta namba zake, hukuwepo kwenye kikao Cha mabaharia wewe mtoa mada??
 
Sasa huyu ndo nlokua na mpango nae,
 
Symptoms of gonorrhoea usually develop within about 2 weeks of being infected, although they sometimes do not appear until many months later. About 1 in 10 infected men and 5 in 10 infected women will not experience any obvious symptoms, which means the condition can go untreated for some time.

Nilichomaanisha.

Na kaa ukijua Gono kwa mwanamke isipotibiw ndio inaleta PID.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…