Tetesi: Hatma na Mbadala wa Katibu Mkuu CHADEMA kujulikana hivi karibuni

Tetesi: Hatma na Mbadala wa Katibu Mkuu CHADEMA kujulikana hivi karibuni

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Huenda ikawa ni kabla ya mwisho wa mwaka huu 2024. Sababu hazijawekwa wazi bado ila mazingira yako wazi sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Wewe nakumithilisha na jirani mdaku anaeshinda chini ya madirisha ya watu kujua wanafanya nini.

Ya CHADEMA yanakufukuta mno.
 
Mwenezi wa CCM akitoa taarifa za CHADEMA.

Uchawi upo
hali ndivyo ilivyo jikoni gentleman,

kama ni siasa, ushirikina au uganga, basi ndio hivyo tena jamaa anaachia ngazi kinyonge kabisa yaani dah 🐒
 
Wewe nakumithilisha na jirani mdaku anaeshinda chini ya madirisha ya watu kujua wanafanya nini.

Ya CHADEMA yanakufukuta mno.
hiyo tabia uache mara moja, utamwagiwa maji moto au kuchomwa sindano ya jicho. Acha kabisaa hiyo tabia nonsense kwenye madirisha ya watu..

By the way,
mungwana kaamua kuachia ngazi mwenyewe , wewe unaleta mihemko ili iweje sasa gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom