Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Oct 7, 2024 #1 Huenda ikawa ni kabla ya mwisho wa mwaka huu 2024. Sababu hazijawekwa wazi bado ila mazingira yako wazi sana π Mungu Ibariki Tanzania
Huenda ikawa ni kabla ya mwisho wa mwaka huu 2024. Sababu hazijawekwa wazi bado ila mazingira yako wazi sana π Mungu Ibariki Tanzania
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Oct 7, 2024 #2 Mwenezi wa CCM akitoa taarifa za CHADEMA. Uchawi upo
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 Oct 7, 2024 #3 Wewe nakumithilisha na jirani mdaku anaeshinda chini ya madirisha ya watu kujua wanafanya nini. Ya CHADEMA yanakufukuta mno.
Wewe nakumithilisha na jirani mdaku anaeshinda chini ya madirisha ya watu kujua wanafanya nini. Ya CHADEMA yanakufukuta mno.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Oct 7, 2024 Thread starter #4 Msanii said: Mwenezi wa CCM akitoa taarifa za CHADEMA. Uchawi upo Click to expand... hali ndivyo ilivyo jikoni gentleman, kama ni siasa, ushirikina au uganga, basi ndio hivyo tena jamaa anaachia ngazi kinyonge kabisa yaani dah π
Msanii said: Mwenezi wa CCM akitoa taarifa za CHADEMA. Uchawi upo Click to expand... hali ndivyo ilivyo jikoni gentleman, kama ni siasa, ushirikina au uganga, basi ndio hivyo tena jamaa anaachia ngazi kinyonge kabisa yaani dah π
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Oct 7, 2024 Thread starter #5 Ngurukia said: Wewe nakumithilisha na jirani mdaku anaeshinda chini ya madirisha ya watu kujua wanafanya nini. Ya CHADEMA yanakufukuta mno. Click to expand... hiyo tabia uache mara moja, utamwagiwa maji moto au kuchomwa sindano ya jicho. Acha kabisaa hiyo tabia nonsense kwenye madirisha ya watu.. By the way, mungwana kaamua kuachia ngazi mwenyewe , wewe unaleta mihemko ili iweje sasa gentleman?π
Ngurukia said: Wewe nakumithilisha na jirani mdaku anaeshinda chini ya madirisha ya watu kujua wanafanya nini. Ya CHADEMA yanakufukuta mno. Click to expand... hiyo tabia uache mara moja, utamwagiwa maji moto au kuchomwa sindano ya jicho. Acha kabisaa hiyo tabia nonsense kwenye madirisha ya watu.. By the way, mungwana kaamua kuachia ngazi mwenyewe , wewe unaleta mihemko ili iweje sasa gentleman?π