Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Safi sana. Inaridhisha kuona wabongo wakijitutumua kupata maisha mtandaoni. Kweli kazi zipo, it's just a matter of sisi kujiegesha vizuri na kutafuta fursa.Mimi nina ccount ya paypal ikiwa lined na account tano yani citibank Marekani (USD), account na account nyingine kama unavyoona hapo chini na nimekwua nazo toka 2015.
Paypal nina account ya Kenya kama unavyoona hapa chini
Na ninazo account za paypal mbili kila moja ina kazi yake.
Hakuna tatizo ila unachobidi ufahamu payoneer inapokea pesa kutoka kwa makampuni, siyo kama account za kawaida kwamba individual client akulipe direct from his/her card au bank account to your payoneer account, hilo haliwezekani.
Zinapiga ila watakudai documents wakati wa kusign up mkuu. Aisee siwezi sema nimedraw kiasi gani lakini kwenye milion nane na kuendelea mkuu sina figure maalum mkuuMkuu Nafaka Paypal kwa kutumia Safaricom bado zinapiga kazi? Kuna uzi niliwahi ona humu jamaa analalamika kuwa hazipigi kazi siku hizi halafu ndio nilikuwa nataka nikanunue.
If yes bado zinapiga kazi, wanalimit yoyote ya amount withdraw??? Umewahi withdraw hadi $$$ ngapi at highest as single transaction?
Wanadai documents gani tena mkuu??Zinapiga ila watakudai documents wakati wa kusign up mkuu. Aisee siwezi sema nimedraw kiasi gani lakini kwenye milion nane na kuendelea mkuu sina figure maalum mkuu
za kenyaWanadai documents gani tena mkuu??
Kama imefika around 8M basi sio mbaya.
Wajuzi wa mambo hii imekiaaje eti mbongo kutoruhusiwa kuwa na acc njeHabarini za asubuhi wanajamvi,
Kama tunavyojua, maisha baada ya Korona imekuwa remote. Sites kama vile upwork, fiverr na PeoplePerHour zimeshika kasi katika kuajiri "digital nomads", na waajiri wengi wamechukua njia hiyo kuhakikisha kazi zao zinaenda.
Sasa naangalia maisha yangu kama Mbongo. Tuseme niamue kufanya haya:
Najua hivi ni vitu wengi wetu tumefanya humu. Ila swali ni kwamba, gharama za uendeshaji inakuwaje? Tuna sheria ya mitandao: hii inanihusu vipi?
- Kufungua website yangu, ambatz.com
- Kuweka blog pale kwa ajili ya kuwapa watu elimu kuhusu huduma ninayotoa.
- kufungua account ya paypal, payoneer na skrill kwa ajili ya kupokea malipo
Niliwahi kusikia kuwa mbongo haruhusiwi kuwa na account ya benki nje ya Tanzania. Paypal na Payoneer je?
Ningependa kujua mipaka ya sheria katika kazi zangu kama mjasiriamali wa mtandaoni.
Wataalam karibuni mtushauri.
Hapo inakuaje kuaje sasa, watu wana verify vipi bila hizo docs?za kenya
Zamani ulikuwa waweza fungua ukaitumia kwa muda bila verification, pia mimi zangu niliziverify na fake docs ambazo now watu wakijaribuw anazikataa, ila mimi zangu hawajawahi kuzifunga. Siku hizi kufungua account imekuwa issueHapo inakuaje kuaje sasa, watu wana verify vipi bila hizo docs?
Huwa wanaomba docs gani na gani? Kuna manzi yupo Kenya anaweza kuwa msaada.Zamani ulikuwa waweza fungua ukaitumia kwa muda bila verification, pia mimi zangu niliziverify na fake docs ambazo now watu wakijaribuw anazikataa, ila mimi zangu hawajawahi kuzifunga. Siku hizi kufungua account imekuwa issue
Sijaitumia muda mkuu. Leseni, au kitambulisho cha taifa na utility bill au bank statementHuwa wanaomba docs gani na gani? Kuna manzi yupo Kenya anaweza kuwa msaada.
Ile njia ya kutumia Paypal ya UK then ukatuma pesa kwa Xoom bado unatumia pia mkuu?
Hapo mtihani na kati ya hizo docs watasema lazima iwe na jina la account ya paypal mtihani unaanzia hapo.Sijaitumia muda mkuu. Leseni, au kitambulisho cha taifa na utility bill au bank statement