Hatma ya Katibu Mkuu CCM kujulikana leo

Mawazo yangu ndio kama yako. Wameamua kutengeneza kijisababu.
 
Kuna vita ya makundi kuelekea 2025, sasa sijui Chongolo amesimama wapi.

Ccm haina sababu zozote za kimaadili moral authority kama inaweza kumteuwa jambazi Bashite wakati tuhuma ,zake ziko wazi huyo Chongolo ana kashfa ipi ya kujiuzulu?

Mama anaingizwa kwenye mfumo na wahuni na akijaa amekwisha, Ccm hakuna tena wazee wakuheshimika kukemea kitu.

Msikubali kuingizwa mkenge na hili genge la wahuni.

Hizi ni vita za Cartels za Ccm, hawa ni zaidi ya majangili.
 
Tuhuma ziko wazi mnashindwa kufungua shauri mahakamani mpaka leo?,mbwa nyie na uzushi wenu
 
Nimekuelewa bro. Una hoja.
 
Kwamba barua ya kujiuzulu kwa Chongolo imeandikwa na mtu mwingine na sio Chongolo is not credible.Aliyeandika barua ni Chongolo!Mtu mwingine achukue all the bother ya kuandika hiyo barua ili iweje hasa,please tell us.CCM kuna vituko sana.
 
Hapa tunapiga tu lamli. Chongolo bado ni KM. Hizo ndio habari rasmi kutoka viunga vya Lumumba.

Tutasubiri sana.
 
Hivi Bashite kaisha tuhumiwa kwa mambo mangapi? Lakini ndiyo hivyo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…