somalia sio pakuchezea, wamarekani walishindwa vita kwenye miaka ya 90 wakaondoka, walikuja wa ethiopia walitaka kuikalia somalia wameshindwa na wameondoka, sasa wapo wa uganda na burundi na kenya sasa wameingia nao watachemka wataondoka, IMPACT YA HII KWENYE UTALII WETU NI KUWA KUAN UWEZEKANO WA WATALII KUSHINDWA KUJA KWENYE MWAMBAO WOTE WA E.AFRICA ,japo nilimsikia wazili maige akijidai kuwa eneo letu ni salama kwaiyo watalii waendelee kuja, aache siasa wajipange watumia njia zote kuwalidhisha watalii ili waone kuwa kwetu ni salama.