Elifuraha Longu
Member
- May 8, 2014
- 73
- 10
Ni majumaa kadhaa zimepita toka kiwanda cha ngozi Arusha kufungwa kutokana na kuwa mazingira ya kiwanda hicho hakiridhishi kwa kukithiri uchafu na kutiririsha maji machafu kwenye maeneo ya makazi ya watu wanaokaa jirani na kiwanda hicho.
Lakini utatani ni; Kwanini kiwanda hicho kimefungwa kwa muda usiojulikana? Je, hadi sasa kimefunguliwa au bado?
Kwa yeyote anaejua kama kimefunguliwa au bado atueleze.
Lakini utatani ni; Kwanini kiwanda hicho kimefungwa kwa muda usiojulikana? Je, hadi sasa kimefunguliwa au bado?
Kwa yeyote anaejua kama kimefunguliwa au bado atueleze.