Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Wahenga walisema mficha uchi hazai.
Mie ni kijana wa mwaka wa kwanza niliepata nafasi ya kujiunga na masomo ya elimu ya juu katika chuo flani kikubwa hapa jijini DSM, Sina muda mrefu tangu nikamilishe usajili/bado mgeni.
Kutokana na ukarimu na kupenda kucheka na watu nilifanikiwa kufahamika na wanafunzi wenzangu wa mwaka wa kwanza ndani ya muda mfupi mpaka siku ya ijumaa iliyipita nikiwa nimepitiwa usinginzi ndani ya lecturing room nikajikuta nimetoa hewa chafu/kujamba bahati mbaya ni kwa sauti kubwa.
Kiufupi Rinda liko vizuri ila ni kutokana na udhaifu wa kibinadamu nikajikuta nachekwa sana baada ya kipindi kuisha.
Nazungumza nikiwa Hostel sijatoka tangu juzi na mbaya zaidi vipindi vinaendelea, najaribu kujikaza niende maana Fame ndo imeniponza.
Nakaribisha ushairi na maoni yenye kunijaza ujasiri kesho niingie kipindi.
My take: Rinda liko fiti.
[emoji23] [emoji23] [emoji4]Hahahaha darasani Makete, Mwakavuta Secondary School, A Level.
Kijana mtata kabisa sitamtaja jina ila ni mweusiiiii anatokea mkoa wa Mara anaachia bonge la shuzi mpaka mwalimu akafikiri kuna mtu karusha jiwe juu ya bati.
Shule pale kuachia shuzi tulikua tunaita kukata nyuzi, sasa ndugu yetu alikua amekata jinyuzi.
Mkuu tofautisha Elimu na suala la kibaiyolojia..Hata wakina Eistein walipitiwa na vitu hivyo ila mie nimeomba ushauri.Wewe ungekuwa na elimu unayojinasibishanayo usingeandika upuuzi huu.
Chini ya TisiyuuHahahaaaaaa elimu ya juu[emoji31] [emoji31]
[emoji23] [emoji23] Tatizo watu viburi humu wanajinadi kama malaika ila hata wao wanahistoria nzuri tu.Kawaida. Iliwahi nitokea nikiwa la5, kwa aibu nikamfokea dada wawatu, kumbe mwalimu ameshaniona. Mwalimu alichek hadi mwisho. Nilitokwa na jasho.
Mkuu unanipigia ramri ? suala la ushauri ndo muhimu.Ninavyodani wewe uta disco mwaka huo huo wa kwanza
Nimeweka msisitizo tu mkuu, maana wazee wa vinyesi hawakawii kusema promo.Mbona umekomaa kujitetea kuwa 'linda liko fit' hapa napata wasiwasi mkuu.
[emoji23] [emoji23] Mkuu itakua kukubuhu sasa huko.unatakiwa urudi lecture room ukajambe ovyovyo wakuzowea tu.
Poa poa mkuu. [emoji1] nimekusoma.Nimeweka msisitizo tu mkuu, maana wazee wa vinyesi hawakawii kusema promo.
Asante mkuu ,ushauri makini sanaSifahamu utaratibu wa UDSM lakini walimu wakishatoa lecturer inakuwa kwenye model site fungua usome yakiyokupita na kama hujaelewa tuna email kwa mwalimu.
Kuwa so zina ni kukomaa kectures na uhakikishe unalamba A kwenye somo hilo