Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Huenda nitakuwa nimekukwaza ila ukweli kabisa kwenye matumizi ya akili ndefu haupo kabisa . Hauna umakini wa kuchekecha akili. Huna akili za kutumia wengine kufikia mafanikio bali wewe unatumika kirahisi sana japo ni jeuri unajiamini sana ila kiakili umelala sana mpaka huyo mwanamke ambaye ushamjua ana akili kiasi gani unashindwa kumfelisha kwenye njia zake anazopita . Yaani yeye anakuchora na wewe unatapika yote .
Kiufupi umekuwa kama mjinga anayejiAmini kwenye hiyo familia . Usipotumia akili huyo mrembo caren anakuweka kwapani kabisa.
Hao niachiwe mimi najuwa kuwa handle namtangulia kwenye lile analowaza yeye kabla ya kutenda nishamzuia nampoteza kujua taarifa zangu akitafuta anapata feki

Ila endelea unanafasi ya kubadilika . Uanze kujidefend kwa akili uanze kucheza nao mchezo wa draft sio wao kukuchezesha tu wanavyotaka
 
Duh unakurupuka

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
BM X6 hii post nilipatia kwa asilimia ngapi?
 
Dah! Naona umeniamulia, ila hujanikwaza mkuu


Nimependa maoni yako
 
Uanze kujidefend kwa akili uanze kucheza nao mchezo wa draft sio wao kukuchezesha tu wanavyotaka
Hii kauli Ni kubwa mno yaani mno,hata sijui una gani Ila you've something extraordinary kwa hii kauli tu.
It you're the hustler.

Hii kauli ndio maisha yaani ndio philosophy ya maisha kabisa.
I like it or you whatever may come.
It seem you know something about the real hustler game.
Yaani unaweza kweli ukawa handle.ila kwa kauli hii life halikusumbui fulani.
I've passed in all your words but I Only find this one that resonates or gravitate towards me.
 
Naomba nisitie neno hapa


Vipi kama nikifanya/nimefanya kweli shemeji yako Annie unamuweka kundi gani?
1. Annie ulishajikorogo na hana imani nawe ipo siku au tayari ashaanza kujitetea...najua wajua

2. Caryn ni mkeo kabisa labda usijue kuwasoma wanawake....
 
1. Annie ulishajikorogo na hana imani nawe ipo siku au tayari ashaanza kujitetea...najua wajua

2. Caryn ni mkeo kabisa labda usijue kuwasoma wanawake....
Una maanisha nini unaposema kashaanza kujitetea?

Kuhusu Caryn naomba tu tusubirie episodes zinazofuata nataka nijitahidi kumaliza matukio yote ya nyuma kabla ya mwezi huu kuisha, yabaki matukio ya Current na Future
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…