Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hahahaa mkuu hapo Careen si ni kama kashasema yes! so kifupi swali langu still halijajibiwa na hii bonus episode nataka unijibu wewe mwenyewe 😊 😊
 
Umetisha sana mwamba, natumai onwards utazichanga karata vyema.. Hapo mpaka sasa game inakubeba wewe
 
Ila Careen nimemkubali sana aisee sio kwa confidence hiyo.. hivi hayo majibu aliyokuwa anakupa alikua na mood na aibu za kike kike au ndio alikua mkavu kama boss🤣🤣🤣.. I bet kasoma IST huyo
 
Hahahaa mkuu hapo Careen si ni kama kashasema yes! so kifupi swali langu still halijajibiwa na hii bonus episode nataka unijibu wewe mwenyewe [emoji4] [emoji4]
Nikujibu kwamba? Nishasahau swali[emoji849]
 
Asante sana blazee....

[emoji837]Kwanza nimepokea Maua yangu,[emoji1545]

[emoji837]Pili Mw/Mungu akipenda labda (underline neno labda) nitakuja na SEASON 3 so utapa kujua mtihani niliuvukaje
Mimi niseme tu fata ushauri wa mzee tabia ya binadamu aibadiliki but itajificha kidogo baadae itarud ukija kushtuka you lost everything.
 
Mi ki ukweli hii story naifuatilia ila kuna sehemu naona as a man kuna sehemu unafeli. Sijui nature ya familia yako ila kwa ulivyojiweka ni kama umeshakuwa part ya familia ya mzee. Kuna vitu unashindwa kuvifanya kwa maendeleo yako wewe, ila unafanya kwa sababu ya nature ya watu
 
Noted Mkuu
 
Asante sana blazee....

[emoji837]Kwanza nimepokea Maua yangu,[emoji1545]

[emoji837]Pili Mw/Mungu akipenda labda (underline neno labda) nitakuja na SEASON 3 so utapa kujua mtihani niliuvukaje
Uwe na bahati njema mkuu, umepitia mengi sana.
 
Mkuu, kwanza hongera kwa uandishi mzuri!

Pili, nakushukuru kwa kujitolea kuleta simulizi hii! Ukiacha kuburudisha akili, mtu makini hakosi cha kujifunza hapa!

Tatu, kwa mtazamo wangu ondoa fikra za mapenzi kwa Caryn. Endelea kufanya kazi kwa bidii, ubunifu, kujishusha huku ukitanguliza akili kwa kila jambo!
Kama ni upendo acha Caryn akupambanie kama ilivyokuwa kwa Anie na Accountant.

Nne, usimuonyeshe Caryn mahusiano yako mengine ( meaning of Anie na wengine kama wapo), hata kwa Anie hivyo hivyo!
Nadhani kwa sasa hauko katika wakati mzuri wa kuamua ni nani hasa anafaa.

Tano, uwe na plan B (Backup plan). Sekta binafsi hazitabiriki, kuachishwa kazi ni muda wowote mood ya mwajiri ikibadilika. Save as much as you can! Fungua kitega/vitega uchumi kwa siri kama ukiweza... (Reffer to Caryn, anafungua miradi bila Mzee kujua... hopefully anajiandaa kwa lolote mbele ya safari hasa ukizingatia kuwa familia za kiafrika hazijambo kwa kugombania urithi).

Mwisho, nakutakia kila lakheri! Usiache kumtanguliza Mungu katika upambanaji wako!
 
1: Nimeyapokea maua yangu[emoji1545]

2: Shukrani sana, hata mimi mwenyewe najifunza kupitia mapito yangu

3: Fikra zangu hazikuwa kwa Caryn kabisa ila yeye nadhani Fikra zake zilikuwa kwangu hadi nikajikuta na mimi nazama humo humo

⁴ : Nimeamua kuandika ka nnē kadogo kwasababu nahisi kama haitawezeka, Yani Kila nikichungulia sioni tobo, sijui nitatumia mbinu gani kufanikisha hilo

5: Ni muhimu sana, huo Mpango ninao muda mrefu lakiñi nashangaa kwañini nakuwa mzito kutekeleza

Mwisho: Mungu ndio kila kitu/Mungu ni Mwema

NB: Kila namba na jibu lake
 
I
Sijajua kwakweli, labda....làkini sidhani
Ila mkuu kiupande wa mahusiano naona kama unataka kurudia makosa ya mtaka vyote.. na kuna kila dalili ya kukosa vyote, sidhani kama urafiki wako na caryn utaendelea endapo atagundua kwamba umemdanyanya umemtongoza huku ukiwa na mpenzi wako, yaani ulikua na lengo la kumchanganya hakuna mwanamke atafurahia hiyo scenario
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…