Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nitajuaje?Akitoka kifungoni muambie apitie huku anahitajika
Oi BM hiyo episode 3 bado tu au ndio mpaka ipate pa kuishia ndio uitundike humu?Wewe Alwatani humu, taarifa ya kuachiwa Tajiri kutoka kifungoni huwezi kuikosa. Sisi wengine matukio yanatupita
[emoji3][emoji3]niringeIsijekua ndo ww Caryn tunaekuongelea humu,maana as far as i know BM X6 kaweka code za maana humu,hebu anzia kusoma stor toka mwanzo na usome tartiibu kbs,unaeza kuta yaliyomo yamo[emoji23]
Sawa mkuu pambania kibunda kwanza.Season 3 itaendelea ila kiukweli mm mwenyewe sijajua ni lini, ila Nadhani kuanzia hii August maana kwasasa nimebanana kidogo muda ni finyu
boss umetupigisha kura weeee half hautuambii nini kimehappen haujatutendea hakiMkuu we acha tu
Mkuu wala usijali, kuhusu vili-happen niseme tu vimehappen vitu vingi sana yani sana, mambo yalienda zigzaga kile nilichokipanga hata hakijatokea labda naweza sema kimetokea kile Mungu alichokipanga so ilibidi niende na flowboss umetupigisha kura weeee half hautuambii nini kimehappen haujatutendea haki
Season 3 ni mwezi ujao... Two weeks to go...ISIDINGO ya ITV imefika mwisho mwaka Jana kama sijakosea, sasa wewe sijui hii story yako inaisha lini... Au hii ni reality show kama ya Paula na kajala
Unaogopa nini lkn?Mbona unafukua makaburi ππππ