Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Upo tayari kuvumilia dharau?
Hao mademu wanakuwaaga na dharaau Ila ukishamla Basi ushamaliza kila kitu ..anakuwa boya wako popote ukitaka mbususu unapata. Fanya kweli halafu nikupe namna ya kumtoa uyo Chali wa buguruniπŸ˜€πŸ˜€
 
Hao mademu wanakuwaaga na dharaau Ila ukishamla Basi ushamaliza kila kitu ..anakuwa boya wako popote ukitaka mbususu unapata. Fanya kweli halafu nikupe namna ya kumtoa uyo Chali wa buguruni[emoji3][emoji3]
Tuanze na namna ya kumtoa Dogo halafu tumalizie na swala la Caryn
 
Hivyo vilikuwa vinauzwa sh 10,000 lakini sasa hauwezi kukipata labda uende Ofisi za Shirika la Kazi duniani ILO na hapa Dar Ofisi naona kama hazifunguliwi siku nadhani mpaka Dodoma. Nitafute PM nikupe ukatoe photocopies
Kizuri share na nduguzo,
Gawa haya maarifa kwa sote tufanikiwe
 
Usichukulie vitu kuwa serious namna hiyo man,relax.....
 
Kuna jamaa hapo juu alitabiri kama hivi
 
Mkuu mm naomba no za Caryn tuu kama hutojali na mm nijaribu zali
 
BM X6 hakuna utakacho fanikisha kati ya hayo yote, biashara hautoweza kufanya, anne hautomuoa wala accountant hautomuoa, time will tell!.....
 
BM X6 hakuna utakacho fanikisha kati ya hayo yote, biashara hautoweza kufanya, anne hautomuoa wala accountant hautomuoa, time will tell!.....
Halafu kweli![emoji848] hata mm nimeliona hilo
 
Tuanze na namna ya kumtoa Dogo halafu tumalizie na swala la Caryn

Hiyo mbona simpo Sana bro, mfano Mimi nimelelewa kwenye mtaa, siyo wale wa mamy n' Daddy I need to use your car hahaha

Sasa skia muulize kwanza dgo ana hobby gani au anapenda nini ..akikujibu anzia hapo hapo. Enewei tuseme amekujibu anapenda kuuza chipsi

Basi wewe fanya hivi ..mchukue dgo tafuta kijiwe ambacho kipo busy muda wote na kina pilika nyingi ..nenda ongea na wahusika waombe waambie una mdgo wako unataka kumfungulia kijiwe Cha chipsi lakini hajui Wala Hana uzoefu

Sasa wewe omba hapo apate nafasi walau mweiz mmoja wa kujifunza namna kazi zinavyofanywa. Kwanzia kukataa viazi, kuchoma mishkaki(hapa Kuna ya kuku, ngombe, na Nini..) na namna ya kuandaa pia hiyo mishkaki ..Yani kila kitu ajue ..piya wamfundishe namna ya kupima chipsi,, kutumia mafuta vizuri, namna ya kupima chipsi zile za viepe, Yani ndani ya mweiz mmoja au miwili awe amejua kila kitu ..pia mkazanie kujua Yani aweke akili yake hapo ..then Sasa na wewe kazi iwe Ni kutafuta kijiwe Sasa ..(hapo dar huwezi kosa) dadisi na nini ..magharama yote yanayohitajika kuanzisha hiyo arakati( itabidi na wewe ujifunze hehehe) halafu baada ya miezi miwili ya kufanya analysis kukamilika Basi mchukue dgo mpe kijiwe chake halafu na wewe msimamie kikamilifu ..angalia jinsi atakavyo Anza naamini hutashindwa bro.

Hiyo ikishindikana Sasa ..angalia (ngoja kwanza simu inazima chaji ntakuja kuandika)

Hehehe usisahau connection ya carynπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Simu ikiwa full charged usisahau kumalizia, kuhusu Caryn usiwaze...lakini kwa mujibu wa andiko lako inaonekana haupo Dar, sasa Caryn unataka kuchat nae tu au utakuja DSM kwaajili yake mkuu?
 
Simu ikiwa full charged usisahau kumalizia, kuhusu Caryn usiwaze...lakini kwa mujibu wa andiko lako inaonekana haupo Dar, sasa Caryn unataka kuchat nae tu au utakuja DSM kwaajili yake mkuu?

Mimi nipo chugastan brother. Kama Mimi ningekuwa wewe Basi ningefanya haya yafuatayo kuhusu uyo dgo.
1. Fahamu kuhusu historia yake huyo dgo pamoja na ndugu zake wale wengine.

2. Jenga naye urafiki ili uweze kujua tabia yake halisi, Yani mzoee kuwa mshikaji wake.

3. Mchukue mpitishe mitaa ya kariakoo, kinondoni wapi muoneshe jinsi vijana wenzake Kama yeye wanavyopambana kutafuta riziki.( Ikiwemo ile ya chipsi)

4. Muulize Kama atahitaji kurudi shule, maana umesema kaishia kidato 3.

5. Umesema umepewa miezi sita tu, baada ya hapo awe na BIASHARA ambayo itaweza kulipa Kodi, na wewe una likizo ya lazima ya mwezi; ok tumia hii likizo vizuri kutafuta Aina nzuri ya biashara itakayomfaa (maana biz siyo mtaji tu pia na commitment yani upo tayari kwa kiasi gani kuifanya hiyo biashara.) Ndio maana mim nimeonelea chili itaendana na uyo kijana tofauti na hapo kujenga biz ambayo ndani ya miezi sita uanze kujilipa(kiasi chaa kuweza kulipa Kodi ya NyumBa nI uwongo) biz mpaka iwe sawa Basi Ni miaka miwili kuendelea, Ila Kuna biz ambayo hata ndani ya hiyo miezi sita unapata faida japo siyo kubwa. Mfano Matunda, mayai(hii ya mayai Ni nzuri Kama utajitoa ipasavyo), kuuza nafaka(hii unahutaji roho ngumu), mitumba, nguo za kike, viatu( uko siko vizuri kabisa) Yani kwa ufupi ukifanya risachi uwezi kosa biz ya kumwanzishia uyo dgo.

6. Biz inishindikana Basi mpeleke hata beta Kama akili yake inachaji kule Kuna kozi ambazo zitamsaidia for fyucha use.

7. Wewe mwenyewe una mpango wa kufanya biz gani mzee akikuoa mtaji?

Mzee amekupa uo mtihani maana anataka kujua una commitment kiasi gani.

Caryn fanya connection apo Mimi nikija naua tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekuelewa Mzee, lakini kuhusu hiyo namba 7 mm mwenyewe washani changanya walivyosema nitaje mtaji wa kiasi chochote, nirudi kwako kwanza mm sijakujibu

Mtu akikupa nafasi hiyo we unaweza kutaja kiasi gani? (Kumbuka huyo mtu anapesa balaa)


Halafu kuanza kuiongelea hvi na chance yenyewe inaweza isitokee [emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…