Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mkuu Kuna shauri zingine humu nimezifanyia kazi, hasa kwa upanda wa kijana wa Buguruni....ila unajua ukiwa nje ya mchezo ndio unausoma mchezo vizuri
Hata Mimi nilishauri uache kazi,Niko na Caryn...benefit ni kubwa Sana badae ila uiminifu naukweli ndio KiLa kitu
 
Persistence and endurance ni ziro kabisa kwa baadhi ya watu linapokuja swala la njaa, wengi tungeshaingiza mambo mengine kwa hiyo familia ya mzee. Hongera sana kwa uvumilivu unaondelea kuuonesha, I can see a bright future huko mbele, don't look on what It takes for them to earn your trust bro.
 
Ngoma n nzito ila utatobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…