Au mwaka mpya kabisa😂Si mbaya kushukuru hata kidogo kinachokuja, ila msoto wa kusubiria unatesa sana. Hii ngoma inaweza ikapandishwa hapa tena baada ya Xmass haha
Haha kwakweli jamaa anatuweka sanaHapa mpaka mwezi wa pili ndo mwendelezo
OkMkuu ni majukumu ndio yanabana, kuandika kila siku sio mchezo
Uko sahihi alosto inazidi sana aseeBlaza kama na kesho itapita bila bila tufanye tu After Christmas [emoji319] mzigo ndio ushuke.
Au mnasemaje ndugu zangu?
Na nnUnajivunjian heshima