Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Tunasubiri muendelezo
 
Huyu Caryn anaogopa kulala peke yake tena?? [emoji16]
Ngoja tusubiri itakuwaje, Mkuu BM X6 ulisema uko free usikilaze kiporo. Mabaharia wanasubiri kifuatacho hapo Zenji kitanda kimoja na Caryn Mtata.
 
story kali sana jamaa unavyojivuta tutakuloga soon
 
Kwa uzoefu wangu, hii kitu imefika mwisho, hata ikiendelea, utakuwa uongo na ili iendelee kwa uongo, utachukua mwaka mzima BM kuandika kisa hicho Cha uongo, kwahiyo tukutane 2024
 
Kwa uzoefu wangu, hii kitu imefika mwisho, hata ikiendelea, utakuwa uongo na ili iendelee kwa uongo, utachukua mwaka mzima BM kuandika kisa hicho Cha uongo, kwahiyo tukutane 2024
Story bado inaendelea, kuna mambo mengi sana yametokea hapa katikati, unajua last episode ni matukio ya October

Hii story kuisha labda ni kwenye mwezi wa sita Nadhani kwasababu Annie atakuwa amerudi kutoka Mwanza anahamia Dar rasmi,

Halafu kumbuka Mzee alinipa mtihani ambao ndani ya miezi 6 natakiwa kuumaliza, Sasa Ile miezi 6 ndio inatimia kwenye mwezi huu wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…