Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Bm kashaoa Caryn labda ujaribu kwa Michelle
 
Kazi ipooooo
 
Nitaenda kusoma
 
BM6 mtu na nusu, Kila la kheri, nimemekukubali namna unavyojibu watu wanaokuona unazingua, very humble. Nakupa Maua yako ukiwa hai mkuu. Bless up
 
Hajakuwepo bhana, sema nimeweka hiyo emoji kwenye kioo kwasababu kuna alama ambayo itamfanya mtu kuitambua hiyo gari kwa haraka
Na wajubaa wanaisaka kweli Hiyo Chuma wanatamani kumuona Caryn wajidondoshe kwenye 18 wamle kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…