Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mwamba Ngoja niirudie ila nimekubali
 
Mambo ni moto
 
[emoji91][emoji91]
 
Aaaahh! Kmk ni nomaa 🔥🔥🔥 oya Broh hii story kama vile straight outta hollywood mzee
 
Asee huyo Boss wako mnoko kinoma, kiukweli mie ningeshindwana nae mapema sanaa.
 
Au sio, mnafurahi wenyewe. Haya tukutane December tarehe kama leo
Tutaandama mpaka kwa mama Samia sema ulizungua sana kwanini hukumpa taarifa mke wangu Kama hautoenda kazini hata Kama bamkwe wangu ulikuwa nae kwenye mihangaiko ya mjini sipenda ulivyomzrau demu waku caryn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Demu wako anazingua kinoma sijui mnaishije! Unyumba unapata kweli?
 
Dah Caryn ako na mind games mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…