Hatma ya Rais mprotestanti Tanzania

Hatma ya Rais mprotestanti Tanzania

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
704
Reaction score
572
Kama mambo yata enda kwa desturi, uwezekano wa kupata Rais mprotestanti Tanzania ni kati ya miaka 20-30 kutoka 2015.

Miaka 10 - 20 kwa awamu ya sasa, na miaka 10 kwa awamu inayofuatia ambayo atapewa kijiti Rais muislamu.

So mpaka 2035-2045. Na hiyo 2035-2045 bado kuna uwezekano mdogo wa kupata Rais mprotestanti Tanzania.

So kuna uwezekano wa watu wengi kutokuona Rais mprotestanti maisha yao yote.

Since theluthi ya watanzania ni waprotestanti, kuna umuhimu wa waprotestanti kupata theluthi ya miaka ya urais. Wakatoliki nao wakapata theluthi yao, na waislamu theluthi yao. Hili ni jambo ambalo watanzania wema wana takiwa wali unge mkono, ili kuwe na utambarare wa kisiasa.

Kutokuwa na Rais mprotestanti kuna weza kuleta political marginalisation ya makabila yenye waprotestanti wengi. Pia kuna weza kudhoofisha uprotestanti Tanzania.

Kwa mfano sasa hivi ukiangalia kwa sababu mbali mbali, baadhi ya vinara wa kisiasa au kiuchumi kutoka madhehebu kadhaa ya kiprotestanti wako jela, au wako under surveillance, au biashara zao zimewashinda.

Kama kungekuwa na Rais mstaafu mprotestanti ingekuwa vigumu kufanya hivi. Kwa sababu katika kipindi chake cha urais angekuwa na system ya kiprotestanti kuanzia ikulu, kwenye chama, kwenye mahakama, kwenye JWTZ, kwenye special force, kwenye millitary intelligence, kwenye polisi/ffu, kwenye magereza, kwenye TISS, kwenye presidential guard, kwenye mgambo, kwenye civil service, kwenye vyuo vikuu (maprofessa na madokta wakiprotestanti) etc.

Na hii system inge saidia mprotestanti waku hukumiwa ahukumiwe na waku achiwa aachiwe kwa haki.

Issue nyingine ni kwamba uprotestanti uko karibu na mafundisho ya biblia. Kwa hiyo uki udhoofisha ni sawa na unadhoofisha injili ya Yesu, na una msaidia Shetani.

Wakoloni wali wapendelea waprotestanti, na baadhi ya waprotestanti huwa wana mapungufu, kama, majivuno, kujionyesha, tamaa ya mali, uzinzi etc. So mapito waliyo yapitia baada ya uhuru yali lenga ku boresha tabia zao, na kuzifanya ziwe nzuri.

Rais mprotestanti sio lazima, cha muhimu ni kuwa na amani, haki na upendo. Na ku avoid mfumo wa kisiasa na wa kimaisha unao ipinga injili ya Bwana Yahushua Masiha (na sabato yake takatifu ya siku ya saba) hapa Tanzania.
 
Kwa mfano sasa hivi ukiangalia kwa sababu mbali mbali, vinara wa kisiasa au kiuchumi kutoka madhehebu kadhaa ya kiprotestanti wako jela, au wako under surveillance, au biashara zao zimewashinda.

Kama kungekuwa na Rais mstaafu mprotestanti ingekuwa vigumu kufanya hivi. Kwa sababu katika kipindi chake cha urais angekuwa na system ya kiprotestanti kuanzia ikulu, kwenye chama, kwenye mahakama, kwenye JWTZ, kwenye special force, kwenye millitary intelligence, kwenye polisi/ffu, kwenye TISS, kwenye presidential guard, kwenye mgambo, kwenye civil service, kwenye vyuo vikuu (maprofessa na madokta wakiprotestanti) etc.

Na hii system inge saidia mprotestanti waku hukumiwa ahukumiwe na waku achiwa aachiwe kwa haki.

Issue nyingine ni kwamba uprotestanti uko karibu na mafundisho ya biblia. Kwa hiyo uki udhoofisha ni sawa na unadhoofisha injili ya Yesu, na una msaidia Shetani.

Wakoloni wali wapendelea waprotestanti, na baadhi ya waprotestanti huwa wana mapungufu, kama, majivuno, kujionyesha, tamaa ya mali, uzinzi etc. So mapito waliyo yapitia baada ya uhuru yali lenga ku boresha tabia zao, na kuzifanya ziwe nzuri.

Rais mprotestanti sio lazima, cha muhimu ni kuwa na amani, haki na upendo. Na ku avoid mfumo wa kisiasa na wa kimaisha unao ipinga injili ya Bwana Yahushua Masiha hapa Tanzania.
Yehushua meshihaka!
 
Kama mambo yata enda kwa desturi, uwezekano wa kupata Rais mprotestanti Tanzania ni kati ya miaka 20-30 kutoka 2015.

Miaka 10 - 20 kwa awamu ya sasa, na miaka 10 kwa awamu inayofuatia ambayo atapewa kijiti Rais muislamu.

So mpaka 2035-2045. Na hiyo 2035-2045 bado kuna uwezekano mdogo wa kupata Rais mprotestanti Tanzania.

So kuna uwezekano wa watu wengi kutokuona Rais mprotestanti maisha yao yote.

Since theluthi ya watanzania ni waprotestanti, kuna umuhimu wa waprotestanti kupata theluthi ya miaka ya urais. Wakatoliki nao wakapata theluthi yao, na waislamu theluthi yao. Hili ni jambo ambalo watanzania wema wana takiwa wali unge mkono, ili kuwe na utambarare wa kisiasa.

Kutokuwa na Rais mprotestanti kuna weza kuleta political marginalisation ya makabila yenye waprotestanti wengi. Pia kuna weza kudhoofisha uprotestanti Tanzania.

Kwa mfano sasa hivi ukiangalia kwa sababu mbali mbali, baadhi ya vinara wa kisiasa au kiuchumi kutoka madhehebu kadhaa ya kiprotestanti wako jela, au wako under surveillance, au biashara zao zimewashinda.

Kama kungekuwa na Rais mstaafu mprotestanti ingekuwa vigumu kufanya hivi. Kwa sababu katika kipindi chake cha urais angekuwa na system ya kiprotestanti kuanzia ikulu, kwenye chama, kwenye mahakama, kwenye JWTZ, kwenye special force, kwenye millitary intelligence, kwenye polisi/ffu, kwenye magereza, kwenye TISS, kwenye presidential guard, kwenye mgambo, kwenye civil service, kwenye vyuo vikuu (maprofessa na madokta wakiprotestanti) etc.

Na hii system inge saidia mprotestanti waku hukumiwa ahukumiwe na waku achiwa aachiwe kwa haki.

Issue nyingine ni kwamba uprotestanti uko karibu na mafundisho ya biblia. Kwa hiyo uki udhoofisha ni sawa na unadhoofisha injili ya Yesu, na una msaidia Shetani.

Wakoloni wali wapendelea waprotestanti, na baadhi ya waprotestanti huwa wana mapungufu, kama, majivuno, kujionyesha, tamaa ya mali, uzinzi etc. So mapito waliyo yapitia baada ya uhuru yali lenga ku boresha tabia zao, na kuzifanya ziwe nzuri.

Rais mprotestanti sio lazima, cha muhimu ni kuwa na amani, haki na upendo. Na ku avoid mfumo wa kisiasa na wa kimaisha unao ipinga injili ya Bwana Yahushua Masiha (na sabato yake takatifu ya siku ya saba) hapa Tanzania.

Hata huyo muislam 2025+++- hatuna hakika maana awamu zao zote wamekuwa mdebwedo sana
 
Mmeanza...! Utawala hauna dini wala dhehebu.
 
Hii iangalie kama watu wa madhehebu fulani ambao ni wengi kwenye population, lakini hawaja wahi kutoa Rais, au wanarukwa 'zamu' yao ya urais ikija. So hawa watu ni some kind of victims kwenye hii issue.
 
halafu kuna mjinga anawatangazia waislam ni wabaguzi, huu ndio uhalisia wa kikristo wanabagua mno mtu mzima unandikaje haya je wasio na dini nao
 
Unaumwa na tumbo la kuhara mkuu.. naonaga uongozi wa kiislamu unakuwa na mzunguko wa kipesa kuliko nyie awamu za ki kristo, yani njaa Kali kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
mwambie anadhani kununua mandege ndio uchumi huo, hali ngumu ya maisha afadhali waislam wanaambilika kuliko nyie. mnauza kila kitu eti ubinafsishaji mi naamini kuna siku jiwe atakubali kuwa alikosea kama Benja
 
Marais waislamu TZ huwa wanasaidiwa na very powerful protestant PMs like Malecela (under AHM) and Lowassa (under JMK). Baada ya Lowassa kuondoka JMK alipwaya.

Hata hivyo huu ni mchezo wa system. Marais Wakristo huwa wanabana pesa, marais Waislamu huwa wana achia pesa.
 
NAMCHUKIA SANA MTU AKIWA MDINI AU MKABILA,HAKIKA KUTOKA NDANI YA MOYO WANGU.

Hii siyo udini wala ukabila. Inabidi uwe na uelewa wa kina sana wa siasa za TZ ili utambue haya.
 
Back
Top Bottom