Hatma ya Ramaphosa mikononi mwa Wabunge

Hatma ya Ramaphosa mikononi mwa Wabunge

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Mpira Kati. Ramaphosa ni ama amwage pesa kwa Wabunge kama alivyozima kashfa ya Phala Phala au apumzishwe na kuanza kupokea Kikotoo. Japool ana hela ila madaraka matamu zaidi. Ingekua Tungekinya party caucus wangeitwa ukumbi Maarufu na kila mbunge apewe salfeti ya mahela. Watu wapige kimyaa
 
Serikali mpya:
Raisi: Ramaphosa
Makamu: Julius malema
 
Julius malema hawez kuwa maana chama chake kina asilimia ndogo sana, DA ndio kinachofuata after ANC.
Malema anaweza.
Kinachotakiwa ni kupata 50% na sio kuungana na chama kinachofuata kwa wingi wa kura.
ANC inaweza kuungana na EFF na kupata 49.5% ikachukua na chama kidogo chenye njaa kujazia 1%,inategemea mtazamo wa ANC
 
Julius malema hawez kuwa maana chama chake kina asilimia ndogo sana, DA ndio kinachofuata after ANC.
1. ANC 40.2 %
2. DA 21.7 %
3. MK 14.7 %
4. EFF 9.5%
5. Others 13.9%

Julius Malema anaweza kuungana na ANC watafikisha 50% na wanaweza kuwaingiza chama kingine kidogo 2% wakaunda serekali ya mseto uwezakano huo upo.

Tatizo Malema anataka migodi,mashamba makubwa wapewe waafrika kitu ambacho kimeikwamisha Zimbabwe na hata hapa kwetu Tanzania hizi sera zimeshindwa.

Tatizo la MK Jacob Zuma yuko tayari kuungana lakini bila uongozi wa Rhamaphosa,hii itategemea ANC kama wapo tayari kumtosa Rais Rhamaphosa.
 
CCM wajiandae NAO kunyolewa kwaja
 
Serikali mpya:
Raisi: Ramaphosa
Makamu: Julius malema
Itakuwa ngumu labda waongezw na IFP. Maana EFF na ANC ni kama ejects kwenye uchaguzi huu, na ikitokea wameungana itakuwa shida.
 
Mpira Kati. Ramaphosa ni ama amwage pesa kwa Wabunge kama alivyozima kashfa ya Phala Phala au apumzishwe na kuanza kupokea Kikotoo. Japool ana hela ila madaraka matamu zaidi. Ingekua Tungekinya party caucus wangeitwa ukumbi Maarufu na kila mbunge apewe salfeti ya mahela. Watu wapige kimyaa
Laana ya chuki za kijinga za xhosa na swazi kuifungulia Israel kesi wakati akiwa madarakani tulishuhudia ubaguzi wa hali juu sana kwa wageni nchini mwake Afrika Kusini 'Xenophobia ' ambayo wananchi na watu wa usalama walikuwa wanawavamia raia kutoka nchi zingine kwenye biashara zao au ofisini na kuwaporwa au kuharibu mali zao hadharani.
 
1. ANC 40.2 %
2. DA 21.7 %
3. MK 14.7 %
4. EFF 9.5%
5. Others 13.9%

Julius Malema anaweza kuungana na ANC watafikisha 50% na wanaweza kuwaingiza chama kingine kidogo 2% wakaunda serekali ya mseto uwezakano huo upo.

Tatizo Malema anataka migodi,mashamba makubwa wapewe waafrika kitu ambacho kimeikwamisha Zimbabwe na hata hapa kwetu Tanzania hizi sera zimeshindwa.

Tatizo la MK Jacob Zuma yuko tayari kuungana lakini bila uongozi wa Rhamaphosa,hii itategemea ANC kama wapo tayari kumtosa Rais Rhamaphosa.
Haha zuma bado ana beef na jamaa. Na hili ni personal, hii ngoma bado ni ngumu
 
1. ANC 40.2 %
2. DA 21.7 %
3. MK 14.7 %
4. EFF 9.5%
5. Others 13.9%

Julius Malema anaweza kuungana na ANC watafikisha 50% na wanaweza kuwaingiza chama kingine kidogo 2% wakaunda serekali ya mseto uwezakano huo upo.

Tatizo Malema anataka migodi,mashamba makubwa wapewe waafrika kitu ambacho kimeikwamisha Zimbabwe na hata hapa kwetu Tanzania hizi sera zimeshindwa.

Tatizo la MK Jacob Zuma yuko tayari kuungana lakini bila uongozi wa Rhamaphosa,hii itategemea ANC kama wapo tayari kumtosa Rais Rhamaphosa.
Salama Yao Ni kumtosa Ramaphosa japo jamaa anahonga balaa
 
Sekondari za kata!!! Jipangeni mnaweza kutupa msaada mkubwa kuikiondoa ccm
 
hUUU N UHAIN AISEE ILE ANC NILIOIJUA HAYA MACHAMA AYANA BIMA KUMBE MDA WOWOTE.
 
kqtibayao nzuri 50 percent.. huku akiongoza imoo
 
Back
Top Bottom