Julius malema hawez kuwa maana chama chake kina asilimia ndogo sana, DA ndio kinachofuata after ANC.Serikali mpya:
Raisi: Ramaphosa
Makamu: Julius malema
Malema huyu anaye promote ushoga?Serikali mpya:
Raisi: Ramaphosa
Makamu: Julius malema
Malema anaweza.Julius malema hawez kuwa maana chama chake kina asilimia ndogo sana, DA ndio kinachofuata after ANC.
1. ANC 40.2 %Julius malema hawez kuwa maana chama chake kina asilimia ndogo sana, DA ndio kinachofuata after ANC.
CCM wajiandae NAO kunyolewa kwaja1. ANC 40.2 %
2. DA 21.7 %
3. MK 14.7 %
4. EFF 9.5%
5. Others 13.9%
Julius Malema anaweza kuungana na ANC watafikisha 50% na wanaweza kuwaingiza chama kingine kidogo 2% wakaunda serekali ya mseto uwezakano huo upo.
Tatizo Malema anataka migodi,mashamba makubwa wapewe waafrika kitu ambacho kimeikwamisha Zimbabwe na hata hapa kwetu Tanzania hizi sera zimeshindwa.
Tatizo la MK Jacob Zuma yuko tayari kuungana lakini bila uongozi wa Rhamaphosa,hii itategemea ANC kama wapo tayari kumtosa Rais Rhamaphosa.
Itakuwa ngumu labda waongezw na IFP. Maana EFF na ANC ni kama ejects kwenye uchaguzi huu, na ikitokea wameungana itakuwa shida.Serikali mpya:
Raisi: Ramaphosa
Makamu: Julius malema
Na ndiyo maana hawataki kusikia huu msamiati wa Tume Huru na Katiba mpya. Hawa hadi kwa mtutu wa bunduki.CCM wajiandae NAO kunyolewa kwaja
Laana ya chuki za kijinga za xhosa na swazi kuifungulia Israel kesi wakati akiwa madarakani tulishuhudia ubaguzi wa hali juu sana kwa wageni nchini mwake Afrika Kusini 'Xenophobia ' ambayo wananchi na watu wa usalama walikuwa wanawavamia raia kutoka nchi zingine kwenye biashara zao au ofisini na kuwaporwa au kuharibu mali zao hadharani.Mpira Kati. Ramaphosa ni ama amwage pesa kwa Wabunge kama alivyozima kashfa ya Phala Phala au apumzishwe na kuanza kupokea Kikotoo. Japool ana hela ila madaraka matamu zaidi. Ingekua Tungekinya party caucus wangeitwa ukumbi Maarufu na kila mbunge apewe salfeti ya mahela. Watu wapige kimyaa
Haha zuma bado ana beef na jamaa. Na hili ni personal, hii ngoma bado ni ngumu1. ANC 40.2 %
2. DA 21.7 %
3. MK 14.7 %
4. EFF 9.5%
5. Others 13.9%
Julius Malema anaweza kuungana na ANC watafikisha 50% na wanaweza kuwaingiza chama kingine kidogo 2% wakaunda serekali ya mseto uwezakano huo upo.
Tatizo Malema anataka migodi,mashamba makubwa wapewe waafrika kitu ambacho kimeikwamisha Zimbabwe na hata hapa kwetu Tanzania hizi sera zimeshindwa.
Tatizo la MK Jacob Zuma yuko tayari kuungana lakini bila uongozi wa Rhamaphosa,hii itategemea ANC kama wapo tayari kumtosa Rais Rhamaphosa.
ANC & EFF wanaweza kuungana na kufikia 50% wanaweza kuongeza vyama vingine vidogo ili kuwa na nguvu zaidi.Haha zuma bado ana beef na jamaa. Na hili ni personal, hii ngoma bado ni ngumu
Salama Yao Ni kumtosa Ramaphosa japo jamaa anahonga balaa1. ANC 40.2 %