Hatma ya shekh ponda

Hatma ya shekh ponda

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
10,677
Reaction score
11,768
Nikiwa kama MTANZANIA mpenda haki na amani napenda kujua hatma ya shekh/kiongozi wangu Ponda Issa ponda, kwakua niko mbali na maeneo husika. Yeyeto aliye pata kuwepo/kusikia hatim ya shekh Ponda naomba anijuze. Nimimi mpenda haki kwanza Amani baadae
 
Anashtakiwa kwa ugaidi na uhaini, na kuna mpango wa kumkabidhi kwa Wamarekani apelekwe Guantanamo!
 
Wampeleke waone.

Baada ya huo msukosuko kidogo alopata sasa anaweza kuachiwa nakupewa masharti kutoshiriki uchochezi wa aina yoyote akithibitika ni kifungo. Amehatia adabu huyo.

Anatahili akamalizie maisha kwake, huwa wanafia huko na kusingizia kauwawa kumbe ni umri na dhoruba, pia msongo wa

mawazo Jela/mahabusu sio pazuri wawaulize wajelajela na hasa Ndanda kosovo takuambieni.
 
Ponda asipo achiwa huru na kufutiwa mashitaka, tutafanya dua, wadhurike woooooooooooooote wanaofanya aendelee kusota lupango. takbir
 
Anashtakiwa kwa ugaidi na uhaini, na kuna mpango wa kumkabidhi kwa Wamarekani apelekwe Guantanamo!

Naunga mkono hoja!! Makofiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!! Iwe fundisho!!!! Na wale wanaokusanyika manzese na sehemu nyingine wakitukana majira ya usiku wakamatwe!!! Tanzania haina dini!! Kila mtu anaabudu kwa wakati wake bila kumbughudi mwenzake!
 
Mbona g.bush wamesoma dua hajadhurka mwachen ponda afie jela tu hatufai gaid huyo.sirkal mpeleken kwa wanaume guantanamo
 
Nikiwa kama MTANZANIA mpenda haki na amani napenda kujua hatma ya shekh/kiongozi wangu Ponda Issa ponda, kwakua niko mbali na maeneo husika. Yeyeto aliye pata kuwepo/kusikia hatim ya shekh Ponda naomba anijuze. Nimimi mpenda haki kwanza Amani baadae

Wewe 'kitobo' ni Mtanzania na unapenda haki, lakini Sheikh Punda ni Mrundi kwa hiyo mwambie arudi kwao kama nia yake ni fujo, naamini kule zipo za kutosha na ni sifa
 
Anashtakiwa kwa ugaidi na uhaini, na kuna mpango wa kumkabidhi kwa Wamarekani apelekwe Guantanamo!
Naulizia matokeo ya leo mahakamani, nini kiliamliwa?
 
Nimeona kwenye ITV sasa hivi Ponda na wenzie wanakesi ya kujibu
 
Nikiwa kama MTANZANIA mpenda haki na amani napenda kujua hatma ya shekh/kiongozi wangu Ponda Issa ponda, kwakua niko mbali na maeneo husika. Yeyeto aliye pata kuwepo/kusikia hatim ya shekh Ponda naomba anijuze. Nimimi mpenda haki kwanza Amani baadae
lazima atapewa mashitaka yaleyale yanayosemwa kila siku, kinachoshangaza ni kumgagania shekh ponda na wanamuachia Nchemba anaewaficha wauaji
 
Baada ya huo msukosuko kidogo alopata sasa anaweza kuachiwa nakupewa masharti kutoshiriki uchochezi wa aina yoyote akithibitika ni kifungo. Amehatia adabu huyo.

Anatahili akamalizie maisha kwake, huwa wanafia huko na kusingizia kauwawa kumbe ni umri na dhoruba, pia msongo wa

mawazo Jela/mahabusu sio pazuri wawaulize wajelajela na hasa Ndanda kosovo takuambieni.
baada ya 2015 tutakapopata serikali yenye kufuata haki na sheria kibao kitageuka, kila kitu kina mwisho
 
Back
Top Bottom