Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Machache lakini mazito
Mpaka sasa, hakuna tamko la CHADEMA zaidi ya malalamiko.
Kuna dalili, CHADEMA imepoteza wafuasi wengi kutokana na kukwepa kujihusisha na wanachama wake (viongozi) wanaopotea na hata kudhuriwa na vyombo vya dola.
Je, haya yanayoendelea ni ashirio la kuporomoka kwa CHADEMA?
Je, bado CHADEMA ni chama mbadala kwa siasa za nchi yetu? How?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA
- Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Rais Samia, Kiongozi wetu Deus Soka Ametekwa, Hajulikani Alipo kwa Wiki Mbili
- Soka na wenzake wanasadikiwa kukamatwa na jeshi la polisi. Soka aliitwa kufuatilia pikipiki yake iliyopo polisi (ni vigumu raia kujua taarifa za kitabu cha RB cha polisi)
- Soka alitoa taarifa kuwa anafuatiliwa kukamatwa na hata alipokamatwa huko Iringa akielekea Mbeya alipewa maneno ya vitisho kutoka kwa askari anayefahamika kwamba WATAMALIZANA naye
- Mawakili walifungua kesi ya kutaka Soka aletwe mahakamani na hukumu ikatoka kwamba Jeshi la Polisi hawajamkamata na hawahusiki na upotevu wa Soka na wenzake...