Hatma ya ubunge wa Mdee na wenzake kujulikana leo

Hatma ya ubunge wa Mdee na wenzake kujulikana leo

Status
Not open for further replies.
Hadi 2025

Chadema walisikiliza Rufaa nje ya muda wa kisheria kwae mujibu wa Katiba ya Chadema
 
Vyanzo vya ndani vinadai Ubunge wa kina Halima unaweza kuisha leo kwani Bunge limeshafanya maamuzi.

Tusubiri, ni muda mchache ujao
Amin amin nawaambieni, kama tusipo wapuuza CHADEMA na kuwasahau masuala ya kina mdee hatuta pata katiba mpya. hawa kina mdee wana mchango gani wa maana katika nchi yetu mpaka masuala yao yafunike kilio chetu cha KATIBA?

Hii ni wiki ya pili sasa kila kona utasikia masuala ya kina mdee tuu ila ya KATIBA mpya yana toweka polepole.halafu kilio chetu sisi tanzanians ni kuiimarisha Taifa stars ili iweze kucheza world cup na Afcon in daily basis/ tuko nyuma kuuza wachezaji ligi kuu ulaya hili lisituume ila la kina mdee na wenziwake litawale mawazo yetu, kweli sisi tuna uchungu na soka letu kuwa bovu au CHADEMA kukosoaana?
 
Siwapendi hao akina Mdee kutokana na jinsi walivyoingia bungeni ila ninapenda misimamo yao kwa kile wanachoamini ni haki yao.

Asilimia 20 tu ya watanzania tungekuwa na misimamo kama ya hawa akinamama ungekuta katiba mpya karibu inazeeka.
 
Vyanzo vya ndani vinadai Ubunge wa kina Halima unaweza kuisha leo kwani Bunge limeshafanya maamuzi.

Tusubiri, ni muda mchache ujao

Unahamu sana wale wanawake watolewe eeeh duh, wale watakuwepo tu mpaka 2025
 
Siwapendi hao akina Mdee kutokana na jinsi walivyoingia bungeni ila ninapenda misimamo yao kwa kile wanachoamini ni haki yao.

Asilimia 20 tu ya watanzania tungekuwa na misimamo kama ya hawa akinamama ungekuta katiba mpya karibu inazeeka.

Kweli kabisa
 
Hawa kina mdee wana mchango gani wa maana katika nchi yetu mpaka masuala yao yafunike kilio chetu cha KATIBA? Hii ni wiki ya pili sasa kila kona utasikia masuala ya kina mdee tuu ila ya KATIBA mpya yana toweka polepole

Katiba mpya sio chadema Tu

Hata ww unaweza Kuchukua mabango yako ukaenda ikulu pale getin ukadai katiba mpya

Labda wenzako hawasikilizwi Ila ww unaweza kusikilizwa
 
Pale hatoki mtu Bungeni onhoooo

Naona mnaliana Timing kwenye UHUNI HAHA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom