Hatma ya ubunge wa Mdee na wenzake kujulikana leo

Status
Not open for further replies.
Kwani katika wale 19 mama Junior ni mmoja wao maana uwamuzi wa kamati kuu umekukera sana.
No mimi ni mpenda haki, nikiona dhulma na maonevu kwa wanaume naweza sipendi ila naweza kuvumilia, dhulma na maonevu vikifanywa kwa wanawake, naumia sana na siwezi kabisa kuvumilia, ila pia besides everything, we are all human beings na kila binadamu ana udhaifu wake, hivyo na mimi ni binadamu nina udhaifu wangu unaweza kunisoma hapa na uangalie ni lini
hata ungekuwa wewe, ungekubali?.
P
 
Hadi 2025

Chadema walisikiliza Rufaa nje ya muda wa kisheria kwae mujibu wa Katiba ya Chadema

Issue sio Rufaa, issue wapo bungeni kisheria?. Kufukuzwa walishafukizwa na CC ya chadema, hivyo walikiwa siyo wanachama. Ila swali linakuja ukihukumiwa ukawa na hatia je kichelewa kisikiliza Rufaa yako unakuwa huru?.
 

Kuhusu katiba mpya Kuna kikosi kazi kinachukua maoni na pia Kuna kikao Cha majadiliano Kati ya Serikali na Chadema. Hivyo usihofu.
 
Hatuwezi kushughulikia mambo makubwa kama haya madogo ya kina covid-19 yatatushinda . . .. lazima yamalizike kwanza
 
Siwapendi hao akina Mdee kutokana na jinsi walivyoingia bungeni ila ninapenda misimamo yao kwa kile wanachoamini ni haki yao.

Asilimia 20 tu ya watanzania tungekuwa na misimamo kama ya hawa akinamama ungekuta katiba mpya karibu inazeeka.

Misimamo kwenye haramu?. Hawana msimamo wowote ni wachumia tumbo. Wangekuwa Wana msimamo wasingekubali kudanganywa.
 

Suala la mpira mbona TFF ipo na inafanya kazi usiku na mchana. Kila Jambo na wakati wake hauwezi ukaacha Mambo mengi kwa Jambo moja tu.
 
Lakini,nawe na wenzio mna muda na nafasi ya kudai katiba.Msiwasubiri CHADEMA.
 
Vyanzo vya ndani vinadai Ubunge wa kina Halima unaweza kuisha leo kwani Bunge limeshafanya maamuzi.

Tusubiri, ni muda mchache ujao
Nashauri Maamuzi hayo asiyatoe Spika Ackson kwa atadharaulika sana kwakuwa Yeye ndiyo 'alipopomika' mwanzoni na Kuwatetea mpaka Kuwaruhusu wawepo Bungeni mpaka leo.
 

Dhurma gani?. Sheria haiangalii jinsia. Huwezi kujipeleka bungeni kinyume na taratibu halafu ukaachwa kisa wewe mwanamke.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…