Hatma ya Watanzania waliopo Sudan

Hatma ya Watanzania waliopo Sudan

Kumetokea mapigano jijini Khartoum he Watanzania wenzetu waliopo huko wapo Salama? Au tutume ndege chap kwa haraka?
Mimi ni mtafutaji mzuri na sikaagi nyumbani kwangu hata kidogo, yamkini kwa mwaka napatikana kwangu kwa mwezi mmoja tu kwa siku za kuunga uunga, niko mikoani kutafutia watoto, ila nchi yoyote yenye vita siendi hata kidogo pamoja na kwamba kifo au majeraha yapo mahala popote, ila siendi kutafuta maisha huko
 
Mimi ni mtafutaji mzuri na sikaagi nyumbani kwangu hata kidogo, yamkini kwa mwaka napatika kwangu kwa mwezi mmoja tu kwa siku za kuunga uunga, niko mikoani kutafutia watoto, ila nchi yoyote yenye vita siendi hata kidogo pamoja na kwamba kifo au majeraha yapo mahala popote, ila siendi kutafuta maisha huko
Achana na hyo kazi ya kuzurura
 
Mataifa ya kubaz bana, pamoja na mfungo wote huu hawamogopi Allah, wanachapana tu.
 
Kumetokea mapigano jijini Khartoum he Watanzania wenzetu waliopo huko wapo Salama? Au tutume ndege chap kwa haraka?
Watanzania wengi walioko Sudan hiyo ya waarabu wengi wanasomea uislamu vyuo vya kiislamu vya hapo Sudan

Wanaopigana wote waislamu tena wamefunga Ramadhani.Na ikifika saa ya swala wote huswali

Na wote wakirushiana risasi na makombora utawasikia wakipiga kelele Allah Akbar kila upande

Misikiti na maeneo ya vyuo vya kiislamu wote pande zote wanayeheshimu sina hakuna upande ambao utashambulia hayo maeneo

Wako salama kwenye maeneo hayo
 
Wanaweza wasishambulie misikiti, WAKASHAMBULIA HOSPITALI, SHULE. wavakobaz akili zao wanazijua wenyewe!
 
Serikali yangu haikuleta hio Vita ya huko Sudan, nasema uongo ndg zanguuuuuu.
 
Kumetokea mapigano jijini Khartoum je Watanzania wenzetu waliopo huko wapo Salama? Au tutume ndege chap kwa haraka?
Hata kama wapo ni kuwaacha tu walipuliwe na mabomu, we mtu mzima na akili timamu eti unaenda Sudan kuungana na Janjaweed kuua watu wasio na hatia
 
Nataarifiwa hapa Watanzania zaidi ya 200 wamerejeshwa nchini toka Sudan. Hongera Sana Chama cha Mapinduzi.
 
Back
Top Bottom