Kingo Janta
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 319
- 262
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfilipino piquao atachakazwa vibaya sana kwenye raundi ya sita.Kutupatupa kwake ngumi za haraka kutaanza kumchosha anzia raundi ya nne.
Kingo Janta, siku ya mnada siyo siku sahihi ya kunenepesha ng'ombe wako!Wakati piquao yupo busy na mazoez ya kujiandaa na pambano many weather yupo anauza sura na warembo kuonyesha ubishoo wake