Hatoki Mtu hapa

Kingo Janta

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
319
Reaction score
262
Hii ngoma nzito
 
Attachments

  • 1430462794670.jpg
    46.1 KB · Views: 203
  • 1430462858266.jpg
    76.3 KB · Views: 188
Mfilipino piquao atachakazwa vibaya sana kwenye raundi ya sita.Kutupatupa kwake ngumi za haraka kutaanza kumchosha anzia raundi ya nne.
 
Mfilipino piquao atachakazwa vibaya sana kwenye raundi ya sita.Kutupatupa kwake ngumi za haraka kutaanza kumchosha anzia raundi ya nne.

Wakati piquao yupo busy na mazoez ya kujiandaa na pambano many weather yupo anauza sura na warembo kuonyesha ubishoo wake
 
Wakati piquao yupo busy na mazoez ya kujiandaa na pambano many weather yupo anauza sura na warembo kuonyesha ubishoo wake
Kingo Janta, siku ya mnada siyo siku sahihi ya kunenepesha ng'ombe wako!
 
Last edited by a moderator:
Hii ngoma ngumu
Ama kweli ni pambano la karne
 
And the winer is man paaaac pacquiao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…